Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Mbona kawa uwazi kuwa watapelekwa kambi maalumu kwa uangalizi mzurikama ni kweli hujafa hujaumbika maana wengine ni kweli wanahitaji msaada, na kutoa ni hiari.
kama ni kweli hujafa hujaumbika maana wengine ni kweli wanahitaji msaada, na kutoa ni hiari.
Nchi yenyewe ombaomba, aanze kwanza kuizuia serikali kuomba omba then ndio aje kwa wananchi.Makonda, hawa ombaomba wa barabarani wapo karibia dunia nzima, hawa ombaomba wetu ni jukumu la serikali kuangalia jinsi gani ya kuwasaidia sidhani kama wakipata huduma bora wataendelea kuomba huko ni kukwepa majukumu yako.
Uwezi kumpangia mtu kutoa sadaka yake kila mtu anatoa pale anapoona ni sahihi kwake.
Masuala mingine ni ya kibinaadamu hayana uhusiano na siasa.
Sasa alitakiwa atafute njia ya kutokuwepo hao ombaomba siyo kupiga marufuku watu kuwasaidia,hili ata-fail
Mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda amepiga marufuku wananchi wanaotoa Pesa kwa Omba omba kando ya barabara kwa kuwa wanachangia uwapo wa watu hao huku baadhi ya watu wakiwatumia watoto hao kujipatia kipato kinyume cha sheria.
Akizungumza jijini dsm Bw.Makonda amesema kumekuwa na Ongezeko kubwa la watoto katika barabara kadhaa za jiji la dsm wakijihusisha na Kuomba pesa huku wanaowatuma wakiwa wamekaa pembeni jambo ambalo ni kinyume na sheria lakini pia linahatarisha Usalama wa watoto hao.
Aidha amesema mkakati uliokuwapo kwa kushirikiana na Ustawi wa jamii, Tamisemi pamoja na manispaa kuhakikisha kuwa watoto hao wanakusanywa na kuwekwa katika vituo maalum huku wanaohusika na kuwatumia kufanya kazi hiyo wakichukuliwa hatua.
Source: Channel ten
Mbona kawa uwazi kuwa watapelekwa kambi maalumu kwa uangalizi mzuri
Wewe ndio umeongea la maana sana aiseeeeNchi yenyewe ombaomba, aanze kwanza kuizuia serikali kuomba omba then ndio aje kwa wananchi.
Hivi hizo kambi ndiyo wanaziita salvation army aukambi za wazee za serikali zina hali mbaya sn.
labda hizo kambi maalum zitaboreshwa zaidi kwa kupatiwa huduma nzuri.
ukikamatwa unamsaidia ombaomba unawekwa ndani masaa 48Sasa alitakiwa atafute njia ya kutokuwepo hao ombaomba siyo kupiga marufuku watu kuwasaidia,hili ata-fail
MIZUKA babHuyu rc mkurupukaji!
Mkuu
Mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda amepiga marufuku wananchi wanaotoa Pesa kwa Omba omba kando ya barabara kwa kuwa wanachangia uwapo wa watu hao huku baadhi ya watu wakiwatumia watoto hao kujipatia kipato kinyume cha sheria.
Akizungumza jijini dsm Bw.Makonda amesema kumekuwa na Ongezeko kubwa la watoto katika barabara kadhaa za jiji la dsm wakijihusisha na Kuomba pesa huku wanaowatuma wakiwa wamekaa pembeni jambo ambalo ni kinyume na sheria lakini pia linahatarisha Usalama wa watoto hao.
Aidha amesema mkakati uliokuwapo kwa kushirikiana na Ustawi wa jamii, Tamisemi pamoja na manispaa kuhakikisha kuwa watoto hao wanakusanywa na kuwekwa katika vituo maalum huku wanaohusika na kuwatumia kufanya kazi hiyo wakichukuliwa hatua.
Source: Channel ten
My take: Nchi yetu yenyewe omba omba maarufu duniani, halafu unapiga marufuku ombaomba??
Njia mojawapo ni kutowapa hao ombaomba. Unajua ombaomba kwa siku anapata kias gan? Wangekua na nia ya kutoka kimaisha ombaomba kwa wiki anaweza kuwa na mtaji wa kuendesha kibiashara hata cha karanga xema ndo hivo wengi kuomba ndo life style yaoSasa alitakiwa atafute njia ya kutokuwepo hao ombaomba siyo kupiga marufuku watu kuwasaidia,hili ata-fail
tangu huyo Makonda aliposema atawaweka ndani waumini wa dini watakaokwenda polisi kushitaki viongozi wa dini zao kama simuelewielewi vile.~~~>Kutoa ni swala la Kiimani, Imani haina marufuku
Swala ni kuandaa mkakati wa kuwaondoa.. Ila mimi sina moyo wa kukataa.