Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 464
- 1,132
Tutakosaje uongozi wakati yeye tayari ni kiongozi wetu, Makonda anatosha.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la Mkazi, ili kuwa sehemu ya maamuzi ya kuchagua viongozi wanaohitajika kwenye ngazi ya vijiji na vitongoji.
Makonda ametoa wito huo, Alhamisi, Oktoba 17, 2024, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Unga Limited ambapo amesisitiza kuwa kutokushiriki katika zoezi hilo kwa uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, kutawanyima wananchi hao haki ya kutoa maoni yao au kukosoa uongozi katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
This kid know how to play his game...Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la Mkazi, ili kuwa sehemu ya maamuzi ya kuchagua viongozi wanaohitajika kwenye ngazi ya vijiji na vitongoji.
Makonda ametoa wito huo, Alhamisi, Oktoba 17, 2024, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Unga Limited ambapo amesisitiza kuwa kutokushiriki katika zoezi hilo kwa uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, kutawanyima wananchi hao haki ya kutoa maoni yao au kukosoa uongozi katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Soma Pia: Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024
haki ya kutoa maoni yao au kukosoa uongozi katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Safi sana, Makonda for evernessMkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la Mkazi, ili kuwa sehemu ya maamuzi ya kuchagua viongozi wanaohitajika kwenye ngazi ya vijiji na vitongoji.
Makonda ametoa wito huo, Alhamisi, Oktoba 17, 2024, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Unga Limited ambapo amesisitiza kuwa kutokushiriki katika zoezi hilo kwa uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, kutawanyima wananchi hao haki ya kutoa maoni yao au kukosoa uongozi katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Soma Pia:
CCM wameharibu sn uchaguzi kwa upumbavu waoWananchi wanaona kujiandikisha kwa ajili ya kupiga kura ni abrakadabra tu, kwani hawatapata kiongozi wanayemtaka ndio maana wanapotezea zoezi la kujiandikisha. Imebidi waandikishaji waanze kuwafuata wananchi majumbani mwao mitaani walau kupata majina mengi. Hata hivyo walioandikishwa wanasema hawatajitokeza kwenda kituoni kupiga kura, wanaona ni kupoteza muda bure
Cheap propaganda unaleta mzee sema yule mama ni zaid ya chawa😁Huyu mshirikina atakuwa anafanya matambiko
Mama yupi mkuu?Cheap propaganda unaleta mzee sema yule mama ni zaid ya chawa😁
Hapana, hakuwa anamuongelea Makonda hapo. Kuna jamaa pembeni ya Makonda alikuwa Afisa Tawala sasa ndio mkuu wa wilayaVideo dakika 1:49: "sasa mkuu wa wilaya " (Naona huyu mama furaha imezidi sana, hadi amesahau Cheo cha mhusika )
Ahsante kwa ufafanuzi.Hapana, hakuwa anamuongelea Makonda hapo. Kuna jamaa pembeni ya Makonda alikuwa Afisa Tawala sasa ndio mkuu wa wilaya