Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 559
- 1,325
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la Mkazi, ili kuwa sehemu ya maamuzi ya kuchagua viongozi wanaohitajika kwenye ngazi ya vijiji na vitongoji.
Makonda ametoa wito huo, Alhamisi, Oktoba 17, 2024, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Unga Limited ambapo amesisitiza kuwa kutokushiriki katika zoezi hilo kwa uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, kutawanyima wananchi hao haki ya kutoa maoni yao au kukosoa uongozi katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Soma Pia:

- Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024
- Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video