RC Makonda anawatesa sana wapinzani wake

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
866
624
Kila wakidhani umeisha ndo unafufuka upya, kule kulitaja jina la Mungu wako kila siku linakupa ulinzi na maono ya kesho yako.

Unawatesa sana wapinzani wako mind you wapinzani wako siyo kutoka vyama vya upinzani wako ndani ya nyumba, kwa jinsi unavyopenya na kujibu shida za wale unaowaongoza.

Mimi binafsi nakuona mbali saaana kutokea hapo ulipo na nina hakika utafika huko ikimpendeza Mungu. La muhimu uwe mnyenyekevu tu tunakuombea.
 
Kwamba tunakuombea Bashite, angalia aina ya watu ambao mnamwombea
 
Kila wakidhani umeisha ndo unafufuka upya, kule kulitaja jina la Mungu wako kila siku linakupa ulinzi na maono ya kesho yako.

Unawatesa sana wapinzani wako mind you wapinzani wako siyo kutoka vyama vya upinzani wako ndani ya nyumba, kwa jinsi unavyopenya na kujibu shida za wale unaowaongoza.

Mimi binafsi nakuona mbali saaana kutokea hapo ulipo na nina hakika utafika huko ikimpendeza Mungu. La muhimu uwe mnyenyekevu tu tunakuombea.
actually sio anawatesa,

bali ana nyoosha na kuonyesha njia na uelekeo tu, tena kwa dhamira na nia njema tu ya wazi.....

And for sure, tukiacha wivu na nongwa kama Taifa, kwa style ya uongozi wa huyu kijana Paul Christian Makonda na yule kijana mwingine pale Ardhi, waziri Jerry Silaa tunaweza kufika pazuri katika muda usio kua mrefu kimaendeleo 🐒
 
Back
Top Bottom