RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

Reucherau

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
756
1,740
Licha ya kuandamwa na tuhuma za kughushi vyeti, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema hawezi kuzungumzia suala hilo kwani majibu yake yapo mtandaoni sakata lilipoanzia.

Makonda amesema hayo leo (Ijumaa) alipoulizwa swali na wanahabari kuhusu uhakika wa taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa alinunua vyeti na kutumia jina lisilo lake.

"Maswali ya mitandaoni yanaishia mitandaoni siko hapa kupoteza focus (mwelekeo). Ukiona maneno mengi yanaibuka kwenye ishu ya dawa za kulevya ndiyo ujue vita imefika penyewe," amesema Makonda.





Chanzo: Mwananchi
 
Kaukweli kameanza kuja dawa za kulevya ni issue nyingine wala siyo source ya vyeti vya kugushi ajibu asipotezee kwenye vita ya madawa wananchi wana mashaka na elimu yako kwa utendaji kazi wako wa mawazo ya hisia zaidi kuliko uhalisia
 
Kwa kweli Watz kwa midomo tuu hawawezekani.
Mbaya zaidi viongozi washalitambua hilo kwa hiyo hata Turn-boy hapo anajisemea kwamba na hili pia litapita tuu.
[HASHTAG]#Tzhakunamatata[/HASHTAG].
 
Ikibainika alifoji vyeti afungwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…