RC Kitwana akagua mipaka ya Mikoa kwa kutumia Helikopta

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
2,046
5,593
Wakuu

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustapha, amefanya ziara na kukagua maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Mjini kwa kutumia helikopta. Na si hivyo tu, akaenda mbali zaidi kuangalia mipaka ya mkoa huo, pamoja na mikoa mingine ya Kusini na Kaskazini ya Unguja.

Hii inamaanisha kwamba "angani ni mahali pake" sasa!
Soma, Pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu Mkoa wa Mjini Magharibi
 
Anakagua mipaka??? Ili iweje??? Haifahamiki au nini kimetokea??
Au ndio aonekane anafanya sana kazi? What is the logic kukagua mipaka ?
 
Back
Top Bottom