Mkuu wa Mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amesema Siku ya mkesha wa Kuelekea sikukuu ya Eid Al Aidha watoto Wawili walilawitiwa jijini DSM
Mtoto mmoja ana umri wa miaka 4 na mwingine ana miaka 9
Vyombo vya Dola vinaendelea kuwasaka waliotenda unyama huo
Source Jambo TV