RC Chalamila ana changamoto za Mafuriko, Usafi wa Jiji 24 January na Maandamano ya Chadema, tuzidi kumuombea!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
96,225
168,794
Ni ombi langu kwa Watu Wote wenye Mapenzi Mema tumuombee zaidi na zaidi Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Chalamila Wakat huu anapopambana na Changamoto lukuki

Kukabili Mafuriko, Mlipuko wa Kipindupindu na Maandamano ya Chadema kwa Wakati Mmoja siyo swala jepesi

Mungu wa mbinguni mfanyie Wepesi huyu Chalamila
 
Mama ampe ruhusa Chalamila awakaange Chadema, hakuna rangi wataacha ona, yaani watajua giza ni rangi nyeusi au laa, na baada ya kugongwa rungu, watajua nyota ziko kwenye macho yao au mbinguni.

Hao waliopigwa na mafuriko kwa kuishi maeneo ya mtoni na mabondeni, tumeiachia nature iwashughulishe, hatupeleki panado wala chakula
 
Kuwapiga wanaweza lakini kitakachofuata wanakijua? Kama mvua tu imefanya sukari kufika sh 5,000 kwa kilo, kunyimwa tu misaada kutaifanya sukari ifike sh ngapi? Vikwazo kama vile vya Zimbabwe, vitaifikisha bei ya sukari kufika milioni ngapi?

Usiishi kwa kukariri. Jana siyo sawa na leo.

Wanapenda sana kama wangekuwa na uwezo wa kuwapiga virungu, lakini hawana uwezo huo. Inabidi wayakubali maandamano, hata kama ni kwa unafiki.
 
Ni ombi langu kwa Watu Wote wenye Mapenzi Mema tumuombee zaidi na zaidi Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Chalamila Wakat huu anapopambana na Changamoto lukuki

Kukabili Mafuriko, Mlipuko wa Kipindupindu na Maandamano ya Chadema kwa Wakati Mmoja siyo swala jepesi

Mungu wa mbinguni mfanyie Wepesi huyu Chalamila
Wale wanajeshi sasa ndio wapelekwe kwenye majukumu yao ya Majanga ya kibinadamu kama mafuriko.

Watowe matent kambini wakawafungie raia waliopoteza nyumba wajistiri.

Mungu huwaumbuwa wanafki kirahisi Sana.
 
Kiongozi mcha Mungu na mtenda haki huepushiwa mitihani walakini wa kinyume nahapo huandamwa na mabaya yeye na watuwake...
Niushauri wangu Mtaka awe RC Dar jijiletu lisonge mbele.
Hata familia ya mcha Mungu nitofauti na ya asiyehaki.
HAKI HULIINUA TAIFA...
 
Ni ombi langu kwa Watu Wote wenye Mapenzi Mema tumuombee zaidi na zaidi Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Chalamila Wakat huu anapopambana na Changamoto lukuki

Kukabili Mafuriko, Mlipuko wa Kipindupindu na Maandamano ya Chadema kwa Wakati Mmoja siyo swala jepesi

Mungu wa mbinguni mfanyie Wepesi huyu Chalamila
Huyu mlambwa si alisema Dar es Salaam hakuna mafuriko bali watu ndiyo wanayafuata maji. Domo lake lililokauka kwa bangi halina chujio.
 
Ni ombi langu kwa Watu Wote wenye Mapenzi Mema tumuombee zaidi na zaidi Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Chalamila Wakat huu anapopambana na Changamoto lukuki

Kukabili Mafuriko, Mlipuko wa Kipindupindu na Maandamano ya Chadema kwa Wakati Mmoja siyo swala jepesi

Mungu wa mbinguni mfanyie Wepesi huyu Chalamila
Yaani na mvua zimukuja ili kumpa sababu za kufanya usafi Chalamila ??!
😂😂🙏🙏🙏
Kwahiyo kwa sasa jiji limechafuka vibaya sana kwa hizi mvua zinazoendelea kunyesha !!
Huenda Mama ni mcha Mungu sana moyoni mwake !
Maana amjuaye mcha Mungu ni Mungu pekee !
 
Ni ombi langu kwa Watu Wote wenye Mapenzi Mema tumuombee zaidi na zaidi Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Chalamila Wakat huu anapopambana na Changamoto lukuki

Kukabili Mafuriko, Mlipuko wa Kipindupindu na Maandamano ya Chadema kwa Wakati Mmoja siyo swala jepesi

Mungu wa mbinguni mfanyie Wepesi huyu Chalamila
Uyu mkuu wa mkoa ana tatizo sehem, alibomoa madanguro ,lakini akiwa mkuu wa mkoa Mbeya madanguro ya mafyati hakuyaona ila akaja kuyaona dar stupid kabisa
 
Back
Top Bottom