Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,504
Msanii nguli wa filamu nchini.Who is he by the way???
Yap ni kweli mkuu.ajitahidi japo afikie nusu ya kile alichokuwa akikifanya marehemu Kanumba
teh teh tehVipi ashachukua maji ya kutosha?
kweli aisee jamaa anaongea kwa sauti kama anapiga azana!Ray cha makelele.
kweli aisee jamaa anaongea kwa sauti kama anapiga azana!
Yap ni kweli mkuu.
Katika vijana machipukizi kabisa wa Kaole ya Mzee Kipara walikuwa ni Ray,Kanumba na Tinno, ila naona tangu Kanumba avute hawa jamaa wameshindwa kabisa kuonyesha ukali wao na kila ambacho mzee Kipara aliwafundisha kufanya.
Ray ukiangalia movie zake mbili tatu ana swaga zake ambazo zinajirudia rudia mno, kitu kinachoharibu sana movie zake, ni kama anakuwa anakariri script badala ya kuzielewa.
Ajifunze kwa kina Masanja na Joti, wao hawakariri script, wanazielewa na wanaziigiza.
Mvumbuzi wa fomula ya kunywa maji ili uwe mweupeWho is he by the way???
Msanii wa filamu, Vincent Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni ametimkia nchini Rwanda baada ya kualikwa nchini humo kwa ajili ya kuandaa filamu maalum ambayo itashirikisha wasanii wa Tanzania na Rwanda.
"Nipo nchini Rwanda nimekuja kushoot movie inayoshirikisha nchi mbili Tanzania na Rwanda ni msanii pekee toka Tanzania niliyechaguliwa kuja kufanya movie hapa nchini Rwanda nina imani sitowaangusha Watanzania wenzangu hapa ni kazi tu."
Ray pia amefunguka na kusema kuwa yeye ni msanii pekee kutoka Tanzania ambaye amechaguliwa kushiriki katika filamu inayounganisha nchi mbili ya Rwanda na Tanzania.
Source: BongoMovie
Utakuwa Wamempendea hii rangi uigizaji bado hahahaBig Up Ray,I can't believe thus why I'm so wonders.
Apange Kwan anaish wapiAkitoka huko apange sasa
Anaishi kwa mama ake (kwao)Apange Kwan anaish wapi