Maradonna Senior Member May 24, 2016 183 649 May 25, 2016 #1 2002 TOYOTA RAV 4 PRICE TZS 13,000,000 Negotiable: Yes Vehicle Type: SUV & 4WD Kilometers: 140,000 Transmission: Automatic Four Wheel Drive: Yes
2002 TOYOTA RAV 4 PRICE TZS 13,000,000 Negotiable: Yes Vehicle Type: SUV & 4WD Kilometers: 140,000 Transmission: Automatic Four Wheel Drive: Yes
manuu JF-Expert Member Apr 23, 2009 4,064 10,733 May 25, 2016 #2 Hii gari haijawai kupata ajali ? Kwanini unaiuza? Na offer yako ya mwisho ni ipi? Iko mkoa gani?
Maradonna Senior Member May 24, 2016 183 649 May 25, 2016 Thread starter #4 manuu said: Hii gari haijawai kupata ajali ? Kwanini unaiuza? Na offer yako ya mwisho ni ipi? Iko mkoa gani? Click to expand... Mkuu hii gari nauza maana nimenunua gari ingine na haina tatizo yeyote kama upo serious na bei njoo PM tufanye biashara gari iko Arusha.Karibu.
manuu said: Hii gari haijawai kupata ajali ? Kwanini unaiuza? Na offer yako ya mwisho ni ipi? Iko mkoa gani? Click to expand... Mkuu hii gari nauza maana nimenunua gari ingine na haina tatizo yeyote kama upo serious na bei njoo PM tufanye biashara gari iko Arusha.Karibu.
Maradonna Senior Member May 24, 2016 183 649 May 25, 2016 Thread starter #5 kuduman201036 said: bring more photo 8.5 mil Click to expand... Kama upo serious njoo PM tufanye biashara mkuu gari iko kwenye hali nzuri.
kuduman201036 said: bring more photo 8.5 mil Click to expand... Kama upo serious njoo PM tufanye biashara mkuu gari iko kwenye hali nzuri.
manuu JF-Expert Member Apr 23, 2009 4,064 10,733 May 25, 2016 #6 Maradonna said: Mkuu hii gari nauza maana nimenunua gari ingine na haina tatizo yeyote kama upo serious na bei njoo PM tufanye biashara gari iko Arusha.Karibu. Click to expand... Poa mkuu chek PM...
Maradonna said: Mkuu hii gari nauza maana nimenunua gari ingine na haina tatizo yeyote kama upo serious na bei njoo PM tufanye biashara gari iko Arusha.Karibu. Click to expand... Poa mkuu chek PM...
Abuu Kauthar JF-Expert Member Jul 10, 2011 4,278 6,452 May 25, 2016 #7 Mbona namba unaficha? Weka wazi kila kitu