Rasmi Ken Gold Imeshuka Daraja Kwa Msimu wa 2023/2024

Dalton elijah

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
443
952
Rasmi Kengold inakuwa timu ya kwanza kushuka daraja msimu huu baada ya kipigo cha 2 - 1 leo Dhidi ya Wanamangushi Coastal Union.

Mpka sasa Kengold ipo nafasi ya 16 na alama zao 16 katika msimamo wa ligi ikiwa imecheza mechi 27 ikipata ushindi kwenye mechi 3 sare 7 na vipigo 17

Kimahesabu Kengold hata wakishinda mechi zao 3 zilizobaki watafikisha alama 25 ambazo Tayari Prisons wako nazo 27 katika nafasi ya 14.
 
Walipenda wenyewe kushuka. Timu ilijaa wachezaji wengi wasio na uzoefu kwenye ligi kuu! Walitakiwa wafanye usajili makini mara tu baada ya kupata nafasi ya kupanda ligi kuu.
 
Back
Top Bottom