Zinedine Zidane hatimaye amezungumzia kwanini alimpiga Materazzi kichwa katika fainali ya kombe la dunia 2006. "Aliniita fala,nikampuuzia. Akamwita baba yangu gaidi,nikampuuzia. Sasa hasira zikanipanda pale aliposema ninafaa kuichezea *YANGA*
kapigwa kapigwa tenaWa kimataifa balaa