Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,828
- 32,738
Mzuka wanajamvi.
Hawa wazungu hasa wana habari wanawamaliza sana jamii ya kiafrika hasa kwenye michezo.
Wasipokuundia mizengwe ya ubakaji basi watasubiri tu utende kosa flani na kukuathiri kisaikolojia hadi ushindwe kufanikiwa kwenye michezo.
Sasa hivi Marcus Rashford (mpemba) mshambuliaji hatari wa Manchester United anaandamwa sana kisa alilewa sana na kusingizia kuumwa kukosa kwenda mazoezini.
Yani watamuandama huyu dogo hadi atashuka zaidi kwenye soka.
Tumeona jinsi walivyomuandama Lewis Hamilton kwenye formula one hadi jamaa sasa hivi msindikizaji.
Tumeona kwa Naomi Osaka kwenye tennis.
Tumeona sasa hivi kwa Kyle Walker beki wa Man City.
Tunaona kwa Jonathan Majors muigizaji maarufu Hollywood.
Tuliona kwa Michael Jackson
Tuliona kwa Mario Baloteli.
Tuliona kwa Benjamin Mendy.
Tunaona kwa Jadon Sancho.
Tuliona kwa will smith.
Tuliona kwa Sadio Mane Bayaan.
Tumeona kwa Romelu Lukaku.
Tumeona waziwazi walivyomnyima Etoo balloon dor.
Tunaona kwa Meghan markle mke wa Prince Harry.
Tuliona kwa kina dada venus na serena Williams.
Ila Mungu bado anatupigania mannigers
Walijaribu sana kuwaangusha kina Husain Bolt, Michael Jordan, Shark wakashindwa. Walimsingiziaga Kobe kabaka.
Wamejaribu sana kwa lebron James wapiii.
Rashford tunakuombe yote haya utapita tu.