Angeanza na mkurugenzi wa halmsauri ya mji nzega ambaye tunambiwa kawafuta kwenye payrol walimu ambao hawakustahili kufutwa katika sakata la uhakiki mpaka leo walimu mishahara hawana makosa hawajui mkurugenzi akifuatwa anawajibu hao walimu ovyo aanze nsye uyo aseme kwanini aliwatoa hao walimu kwenye payrol