Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,573
- 4,974
Kailima alienda kushuhudia uchaguzi wa mbunge wa jimbo ambao kimsingi upo chini ya NEC!Tuliambiwa NEC haihusiku huko zanzibar,sasa huyu mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi fyokofyoko ya nini huko? alipaswa kukaa kimya ZEC wajiendeshe wenyewe maana hicho ni chombo huru.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu ibariki Zanzibar.
Hawa Ndio wanaoichafua ZANZIBAR iwe kama wanavotaka, waone watu wanauana na kukiona kisiwa kinazama.
Safi sana, MMEMFYATISHA MDOMO huyu mkurupukaji mpaka kakimbia!Jitahidi kujifunza kabla ya kukurupuka.
Kuna jimbo 1 la ubunge wa Jamhuri liliahirisha uchaguzu ambalo lipo chini ya NEC
Kailima kaenda kusimamia uchaguzi wa jimbo hilo na tayari mshindi amepatikana Shamsi Vuai Nahodha
Kitu kama hukijui usikurupuke ili mradi tu uonekane umeanzisha uzi huo ni uchonganishi na unafiki
nilichosikia ni kuwa huyo jamaa aliongelea ubunge wa kijitopele ambao mpaka sasa hivi nahodha wa ccm ameshinda wakati yule mshindani wake mkuu wa CUF hakushiriki.Tuliambiwa NEC haihusiku huko zanzibar,sasa huyu mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi fyokofyoko ya nini huko? alipaswa kukaa kimya ZEC wajiendeshe wenyewe maana hicho ni chombo huru.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu ibariki Zanzibar.
nilichosikia ni kuwa huyo jamaa aliongelea ubunge wa kijitopele ambao mpaka sasa hivi nahodha wa ccm ameshinda wakati yule mshindani wake mkuu wa CUF hakushiriki.
Ubunge na urais wa jamhuri (bara na visiwani) upo chini ya nec ambayo mkurugenzi wake ni kailima.
ule wa wawakilishi, urais wa visiwani na masheha upo chini ya zec ambayo kailima hana mamlaka.
ila siungi mkono kwa serikali ya ccm inachokifanya zanzibar. maana ule ni ubakaji wa demokrasia.
Tafiti kabla ya kupostTuliambiwa NEC haihusiku huko zanzibar,sasa huyu mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi fyokofyoko ya nini huko? alipaswa kukaa kimya ZEC wajiendeshe wenyewe maana hicho ni chombo huru.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu ibariki Zanzibar.
Kila siku mnalilia watu kuuana. Sijui mnaona raha gani kuua wenzenu kisa eti mnapiga uchaguzi au matokeoHawa Ndio wanaoichafua ZANZIBAR iwe kama wanavotaka, waone watu wanauana na kukiona kisiwa kinazama.
Mkuu huyo jamaa kazi yake ni maalum ambayo jecha aliifanyaTuliambiwa NEC haihusiku huko zanzibar,sasa huyu mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi fyokofyoko ya nini huko? alipaswa kukaa kimya ZEC wajiendeshe wenyewe maana hicho ni chombo huru.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu ibariki Zanzibar.
Mkuu hakuna serikali dharimu iliyodumu milele hapa duniani,kama ilivyo kwa kiongozi dikteta hakuna aliyedumu milele na haya yoote tunayo yashuhudia kufanywa na ccm yana mwisho wakeDhuluma.com wanahalalisha dhuluma! Hata Shein yuko radhi kupiga na kuua wapemba wenzake sababu ya chama......amekisaliti kisiwa sababu ya madaraka! Wapemba machozi yameenda na maji! Mtalia kwa nani awasikilize? USA au Jumuiya ya Kimataifa? CCM wako tayari nchi kuwekewa vikwazo vyovyote ila si Kuachia zbar iende CuF: Poleni sana wapemba na wapenda demokrasia wote! Udhalimu huu hadi lini????
nilichosikia ni kuwa huyo jamaa aliongelea ubunge wa kijitopele ambao mpaka sasa hivi nahodha wa ccm ameshinda wakati yule mshindani wake mkuu wa CUF hakushiriki.
Ubunge na urais wa jamhuri (bara na visiwani) upo chini ya nec ambayo mkurugenzi wake ni kailima.
ule wa wawakilishi, urais wa visiwani na masheha upo chini ya zec ambayo kailima hana mamlaka.
ila siungi mkono kwa serikali ya ccm inachokifanya zanzibar. maana ule ni ubakaji wa demokrasia.
endeleeni kushangilia ushindi wenu!Aiseee pole sana na ubakaji wa demokrasia. Ukizira wenzio wanakula. Mtu mzima unazira? halafu useme demokrasia imebakwa! hatari sana.
Kailima alienda kushuhudia uchaguzi wa mbunge wa jimbo ambao kimsingi upo chini ya NEC!
Kwani Zanzibar ni Kenya au?Tuliambiwa NEC haihusiku huko zanzibar,sasa huyu mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi fyokofyoko ya nini huko? alipaswa kukaa kimya ZEC wajiendeshe wenyewe maana hicho ni chombo huru.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu ibariki Zanzibar.