Rais yupi ana speech zenye mashiko (Tanzania)?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Hii ndio ranking kwa mtazamo wangu kulingana na aina ya speech.

General Speech
1. Mkapa
2. Magufuli
3. JK
4. Mwinyi
5. Samia

Speech za mipango na maendeleo

1. Magufuli
2. Mkapa
3. Kikwete
4. Samia
5. Mwinyi

Speech with comedy
1. Mwinyi
2. Kikwete
3. Magufuli
4. Samia
5. Mkapa

English speech
1. Mkapa
2. Kikwete
3. Magufuli
4. Samia
5. Mwinyi

Kwa ujumla speech za Mkapa na Magufuli zinasikilizika hata kama upo busy.

Nyerere hayupo kwenye list kwa sababu viwango vyake vya speech sio vya bara hili.

Screenshot_20240302-130124_YouTube.jpg
 
Hapo Kuna wawili waondoe kabisa hawana speech za ziada ukiondoa zile za kiutendaji ambazo lazima utoe kulingana na event iliyopo.

Hapo Kuna miamba Kila mwezi walikuwa wanatoa hotuba zenye info ambazo ni qualitative na quantitative zisizojirudiarudia, sio Kuna watu Kila wakizungumza wao akili ipo kwenye quantitative tu na kuzungumzia ongoing activities Kila siku yaani SGR, Bwawa la Nyerere, ujenzi wa miundo mbinu ya afya, madarasa (wanazunguuka humu tu)
 
Hii ndio ranking kwa mtazamo wangu kulingana na aina ya speech.

General Speech
1. Mkapa
2. Magufuli
3. JK
4. Mwinyi
5. Samia

Speech za mipango na maendeleo

1. Magufuli
2. Mkapa
3. Kikwete
4. Samia
5. Mwinyi

Speech with comedy
1. Mwinyi
2. Kikwete
3. Magufuli
4. Samia
5. Mkapa

English speech
1. Mkapa
2. Kikwete
3. Magufuli
4. Samia
5. Mwinyi

Kwa ujumla speech za Mkapa na Magufuli zinasikilizika hata kama upo busy.

Nyerere hayupo kwenye list kwa sababu viwango vyake vya speech sio vya bara hili.

View attachment 2925582
Kwa kuwa umemtoa Nyerere kwa viwango vyake. Mimi napenda speech za Magufuli Sana. Na huwa sipendi speech za sa100 hata kidogo
 
Hii ndio ranking kwa mtazamo wangu kulingana na aina ya speech.

General Speech
1. Mkapa
2. Magufuli
3. JK
4. Mwinyi
5. Samia

Speech za mipango na maendeleo

1. Magufuli
2. Mkapa
3. Kikwete
4. Samia
5. Mwinyi

Speech with comedy
1. Mwinyi
2. Kikwete
3. Magufuli
4. Samia
5. Mkapa

English speech
1. Mkapa
2. Kikwete
3. Magufuli
4. Samia
5. Mwinyi

Kwa ujumla speech za Mkapa na Magufuli zinasikilizika hata kama upo busy.

Nyerere hayupo kwenye list kwa sababu viwango vyake vya speech sio vya bara hili.

View attachment 2925582
Magufuli hastahili kuwepo kwenye category yoyote.
 
Hii orodha bila Nyerere ni batili ab innitio
 
Mimi binafsi Sijawahi kusikiliza speech za Rais wa awamu hii labda nikutane nazo tu kwenye vyombo vya usafiri ama vi clip clip vya kwenye mitandao ya kijamii. Nahisi ni kama hana/hakuwa na vision ya wapi anataka Tanzania iende na ndio maan hata falsafa yake ni ya kisiasa zaidi i.e 4R kwa sababu ni rahisi sana kwa kila mwanasiasa kuwa na falsafa ya kisiasa ila sio rahisi kwa kila mwanasiasa kuwa na maono ya kikmkakati yenye uwezo wa kuleta tija na maendeleo kwa taifa lake.

Ukijaribu kumsikiliza ni kama unamsikiliza mtu aliyechoka ama kukata tamaa, sauti yake haina mamlaka wala matumaini
 
Back
Top Bottom