Ikaria
Member
- Jul 17, 2019
- 93
- 238
Wiki moja tu baada ya kuvunja Baraza lake la Mawaziri na kumfukuza Kazi Mwanasheria Mkuu, Rais William Ruto ametangaza Baraza Jipya la Mawaziri na kumteua Mwanasheria Mkuu mpya.
✓ Ni Mawaziri 6 tu wamerejeshwa kazini:
• Waziri wa Ulinzi Adan Duale
• Waziri wa mambo ya ndani Professor Kithure Kindiki.
• Waziri David Chirchir ambaye amehamishwa kutoka Wizara ya Kawi hadi Wizara ya Barabara na Miundo Mbinu.
• Waziri wa Mazingira Soipan Tuya.
• Waziri Alice Wahome ambaye amehamishwa kutoka Wizara ya maji hadi Wizara ya ardhi.
✓ Aliyekuwa Waziri wa Biashara Rebecca Miano ameteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu mpya.
*Afya - Debrah Barasa (waziri mpya)
*Elimu - Julius Migosi (waziri mpya)
Kilimo- Andrew Karanja (mpya)
Maji - Eric Muriithi (mpya)
ICT - Dkt Margaret Ndung'u

Mawaziri Wapya:
*Afya - Debrah Barasa (waziri mpya)
*Elimu - Julius Migosi (waziri mpya)
Kilimo- Andrew Karanja (mpya)
Maji - Eric Muriithi (mpya)
ICT - Dkt Margaret Ndung'u