Rais wetu anajali sana starehe kuliko maisha ya watu?

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
4,075
9,489
Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa.

Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI kuna watu wanakufa kwa kukosa tiba mahospitalini kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia matibabu (hawana bima).

Anafuja fedha nyingi kuandaa tamasha la Kizimkazi badala kuwalipia bima ya afya wazee wote hapa nchini.

Screenshot_20250105-002044.png
 
Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa.

Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI kuna watu wanakufa kwa kukosa tiba mahospitalini kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia matibabu (hawana bima).

Anafuja fedha nyingi kuanda tamadha la Kizimkazi badala kuwalipia bima ya afya wazee wote hapa nchini.

View attachment 3192651
Nabii Musa kalamba milion MIA MOJA tasilimu mchango wa ujenzi wa kanisa
 
Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa.

Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI kuna watu wanakufa kwa kukosa tiba mahospitalini kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia matibabu (hawana bima).

Anafuja fedha nyingi kuanda tamadha la Kizimkazi badala kuwalipia bima ya afya wazee wote hapa nchini.

View attachment 3192651
Mkuu una hoja.
Natamani nami nitoe dukuduku langu kupitia uzi wako huu lakini daaa.
Basi acha nipite kimya kimya.
 
Michezo pia ni sector muhimu katika ujenzi wa taifa letu,ni ajira ni soko la bidhaa.

Usijaribu kufanya vipaumbele vya familia yako kuwa vya wenzako,pambana uijenge familia na kwa kuijenga familia utatutengenezea kizazi bora cha viongozi vyenye maono yako ambayo kwasasa unayaona bora sana.
 
Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa.

Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI kuna watu wanakufa kwa kukosa tiba mahospitalini kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia matibabu (hawana bima).

Anafuja fedha nyingi kuanda tamadha la Kizimkazi badala kuwalipia bima ya afya wazee wote hapa nchini.

View attachment 3192651

Abaptokote siasa za Simba na Yanga ili msahau wanavyotupiga.
 
Back
Top Bottom