ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 59,595
- 70,240
Rais wa Zambia bwana Hajainde Hichilema amewasimamisha kazi Majaji 3 wa mahakama kuu Kwa madai ya mwenendo usiofaa na kusababishia lawama za Serikali kuingilia mhimili wa mahakama.
Majaji waliosimamishwa walikuwa Watoe Hukumu ya kama Rais wa Zamani bwana Edger Rungu aruhusiwe kugombea au hapana.
Huyu bwana Hichilema ndio Huwa anatokewa mfano kama role model wa Chadema ila wanasahau kwamba alikuwa anajinadi ni Mwanademokrasia kama wao ila ameshindwa kusimamia Demokrasia na Sasa anatumia vyombo vya Dola kuhakikisha anasalia madarakani.👇👇
View: https://x.com/BBCAfrica/status/1838607218733646272?t=UlsfHQwGF61G7AOHRCp8vQ&s=19
My Take
Madaraka ni matamu asali ikasome.
Ni hivi CCM msije kurogwa eti kuwaaachia madaraka Machadema mkidhani watakuja kusimamia maneno wanayosema,mtajua hamjui.
Hakuna mwanasiasa hata mmja ambae anasimamiaga anayosema,Huwa ni walaghai na mbaya zaidi unakuta majiti manyumbu wanaenda kumpigania mwanasiasa bila yeye kunufaika.
Mimi Niko wazi siwezi ku sympathise na mwanasiasa hata muuane hainihusu Kila mtu ashinde mechi zake.
Ni vile tuu Wananchi Huwa hawana akili za kupambanua na kufuatilia ndio maana wanahadaiwa na maneno matamu ya Wapinzani wakidhani ndivyo maisha Yao yatakuwa 😁😁😁😁
Ukweli ni kwamba mwanasiasa hawezi badilisha maisha Yako unless na wewe uhakikishe unapata fursa kwenye siasa (Uongozi) ndipo utabadili maisha yako.
Hawa Wapinzani sio tuu wamefeli Zambia bali Malawi,Senegal, Ghana,Kenya nk nk so it won't be different Kwa Tanzania.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAVYAZ_KE31/?igsh=MTZsam9qZDNkandwcQ==
#SSH# Anatosha na chenji inabaki ,🇹🇿 inae Hadi 2030.