lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,056
Ikikupendeza na utapendeza na wengine, mchezo wa soka ni FURAHA na kuwa FAIR.
TUMESHUHUDIA nchi ikiwa katika sherehe za uhuru Mh Rais hutoa misamaha kwa WAFUNGWA. Hawa wanakuwa wamefanya makosa na wanapata Misamaha .
Kama Taifa la soka Tanzania timu zetu SIMBA NA YANGA kwa mara ya kwanza toka kuumbwa kwa taifa hili kwa Pamoja Mwenyezi Mungu Akijalia basi timu zetu hizi zote mbili zitatinga hatua ya ROBO FAINALI YA KLABU BINGWA AFRIKA.
Haya yote yanatokea sababu pia ya neema Mwenyezi Mungu Alichojalia UTAWALA WAKO, nakuomba sana Rais wangu wa soka mwenye juhudi na bahati zako NAKUOMBA wasamehe " wafungwa wote wa soka " katika nchi hii.
Wape furaha zaidi wapenda soka wazidi KUFURAHIA NA KUKUFURAHIA.