Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,196
- 34,863
Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB.
Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa Nchi ya Zanzibar kwa bashasha kubwa.
Adhaa pekee tunayokumbana na nayo ni foleni kubwa ambazo zimesababishwa na ugeni wa kiongozi huyu mashuhuri wa nchi ya Zanzibar.
Kama ilivyo kawaida kiongozi mkuu uongozwa na kimulimuli cha rangi ya njano.Kimulimuli cha rangi ya blue kinamhusu Majaliwa na naibu waziri mkuu na viongozi wengine wapendao vimulimuli.
Karibu Tanganyika,karibu Arusha.