Rais wa mamlaka ya Palestina Mahamdu Abbas awasili Syria kwa mazungumzo na Rais wa Syria

Kaenda kuwatia nuksi Syria.. Gaidi haachi asili.. IDF ndio atakuwa makini kabisa.. shauri zao
Kwa tangu lini Abas amekuwa na shida na Israel? Tangu lini Israel imekuwa na Shida na Abas? Kwa taarifa yako Abas ni kibaraka wa Israel, ndo maana hujawahi kusikia akiwa na msimamo mkali kinyume na matendo ya Israel dhidi ya wapalestina wa Gaza na hata ukingo wa magharibi
 
Rais wa Palestina wakati hakuna taifa la Palestina.

Kaenda Syria kuwapongeza wamefikia pazuri, waliweza kumuondoa Dictator, na wanajaribu kuijenga Syria upya.

Mahamdi Abbas ni Muungwana sana lakini sioelewi kwanini Palestinian walimsaliti na kuwachagua HAMAS.
 
Raia walio uhamishoni hawamtaki maandamano makubwa syria.


Press TV, Damascus

In the heart of Damascus, the Rukn Al-Din neighborhood witnessed a demonstration in support for the people of Gaza.

Protesters rallied not only against the ongoing Israeli onslaught, but also in anger over the visit of Palestinian Authority President Mahmoud Abbas. They reaffirmed their rejection of any settlement that would compromise the Palestinian cause and their right of liberating all Palestine.
 
Kwa tangu lini Abas amekuwa na shida na Israel? Tangu lini Israel imekuwa na Shida na Abas? Kwa taarifa yako Abas ni kibaraka wa Israel, ndo maana hujawahi kusikia akiwa na msimamo mkali kinyume na matendo ya Israel dhidi ya wapalestina wa Gaza na hata ukingo wa magharibi
Fanya research kwanza ndipo useme.. Issue za Israel na Palestina ukiongopa hata kidogo unashikwa hapo hapo 40 yako ndio inakuwa imefika.. PA inamalalamiko yasiyoisha kila day.. hiyo safari tu Jordan kadhamini lakini Helicopter ilibidi imsubirie mpakani mwa Jordan ilikatwazwa kupata anga la Israel.

Abbas anawalipa mishahara familia za magaidi au Gaidi yeyote aliyefanya ugaidi ndani ya Israel au chini yao huo ndio uelewano wa Abbas na Israel?
 
Back
Top Bottom