Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 20,256
- 37,384
Yule Rais wa Watu Rais wa Kitaa ametoa wito kwa watu wote wenye mapenzi mema kuungana kukemea hali ya kutisha inayoshamiri na kuharibu Taswira ya Nchi yetu.
Msanii huyo wa Nyimbo za mziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo fleva ameonekana kupokelewa ujumbe wake na idadi ya watu wengi kwenye mitando ya kijamii.
Ukitazama hapo chini vuew na comment ni nyingu mno wote eakiknesha hasira na kero inayotokana na matuko haya ya ajabu ajabu.
Amewaasa watanzania kuwa wasiwashambulie wasanii wenzake ambao hawaungani na Mashabiki wao au wateja wao linapotokea jambo baya kweny jamii kwani kwa kufanya hivyo haitabadilisha kitu kwa sababu wasanij hao ulaji wao na ugaki wao wanajua wanakoupata na sio kwenye jamii ya washabiki.
Pia ametoa wito kwa wasanii wengine na wananchi wote kupinga na kukataa hali hii inayoanza kushamiri Nchini.
Ameto wito kwa mamlaka na serikali zenye wajibu wa kikatiba wa kulinda Usalama wa Raia na mali zao kutwambia ni wapi walipo vijana waliotekwa hivi karibuni.