johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,637
- 165,602
Rais wa chama cha wauguzi Tanzania Mr. Alexander Baluhya amesema kuna wauguzi kadhaa wameambukizwa Corona lakini hawezi kutaja idadi kwa sababu yeye siyo msemaji wa serikali.
Akijibu swali la mtangazaji Hassan Ngoma aliyetaka kujua hadi sasa ni wauguzi wangapi wameambukizwa na kufa kwa Corona Alexander amesema maambukizi yapo ila suala la vifo msemaji ni Waziri Mkuu au Waziri wa Afya.
Chanzo:Clouds 360