Rais Samia yuko sahihi kabisa, ni kweli baadhi ya Vyama Malengo yao hayajulikani mfano ni Chadema 2015!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,165
164,638
2015 katika hali ya kushangaza na kukosa hekima Chadema wakamchukua mzee Lowasa wa CCM agombee Urais na mzee Duni wa CUF awe mgombea mwenza

Maana yake Chadema kama " Chadema" haikuwa na mgombea Urais wala mgombea mwenza

Unadhani Chadema Wana Malengo kweli?

Nimesikia Rais Samia akimwambia CDF kuwa Uchaguzi unashirikisha Vyama vingi vya Siasa na miongoni mwao vimo ambavyo Malengo yao hayajulikani hivyo asimamie Usalama

Kimsingi nakubaliano kabisa na mh Rais Samia

Mungu wa Mbinguni Ibariki Tanzania 😄
 
Mungu wa Mbinguni Ibariki Tanzania
Na sisi tunakusanya ushahidi tu.
 
Nilivyomuelewa mimi kuwa mwaka huu na ujao kuelekea uchaguzi patachimbika kwanini?

Ni kwasababu katiba mpya haitapatikana ndani ya muda huo na vyama pinzani hasa CHADEMA wataanzisha mizengwe, pengine hata kususia uchaguzi.

Katika hiyo mizengwe nchi inaweza kuchafuka na kupelekea nguvu kubwa ya polisi kutumika,

Ikiwa hali utakua mbaya zaidi basi nguvu ya jeshi itatumika.

Ujumbe ni kwamba analitambua hili suala na yuko tayari kukabiliana nalo. Kwahiyo alikua anataka na sisi tufahamu hilo pia(walengwa Ujumbe umewafikia).
 
Labda

Lakini Vyama vya Upinzani havina Malengo
 
2015 katika hali ya kushangaza na kukosa hekima Chadema wakamchukua mzee Lowasa wa CCM agombee Urais na mzee Duni wa CUF awe mgombea mwenza

Maana yake Chadema kama " Chadema" haikuwa na mgombea Urais wala mgombea mwenza

Unadhani Chadema Wana Malengo kweli?

Nimesikia Rais Samia akimwambia CDF kuwa Uchaguzi unashirikisha Vyama vingi vya Siasa na miongoni mwao vimo ambavyo Malengo yao hayajulikani hivyo asimamie Usalama

Kimsingi nakubaliano kabisa na mh Rais Samia

Mungu wa Mbinguni Ibariki Tanzania 😄
Posho zenu zimetoka?
 
Hiki Chama kilikua na nguvu sana... Mistake ilifanyika 2015, hapo ndio wananchi wakapata picha serikari ya CHADEMA ingekua ya namna gani.
Kiufupi watanzania wamekosa Chama Cha kuipa Dola kama mbadala wa Chama tawala.
 
Kwahiyo kwanini vimepewa usajili? You guys, mnazidi kuvuruga amani ya nchi. Chama kisicho na malengo mazuri kinapewaje usajili? Msajili wa vyama inamaana hajui kazi anayotakiwa kuifanya?

Washauri wa serikali ebu fanyeni kazi yenu vizuri, Dunia itatushangaa
 
Hiki Chama kilikua na nguvu sana... Mistake ilifanyika 2015, hapo ndio wananchi wakapata picha serikari ya CHADEMA ingekua ya namna gani.
Kiufupi watanzania wamekosa Chama Cha kuipa Dola kama mbadala wa Chama tawala.
Na unfortunately chama chetu kinashindwa kujiweka vizuri katika hii situation ambayo kimepewa Imani yote na public, wao wanataka kuvunja hii trust
 
Nilivyomuelewa mimi kuwa mwaka huu na ujao kuelekea uchaguzi patachimbika kwanini?

Ni kwasababu katiba mpya haitapatikana ndani ya muda huo na vyama pinzani hasa CHADEMA wataanzisha mizengwe, pengine hata kususia uchaguzi.

Katika hiyo mizengwe nchi inaweza kuchafuka na kupelekea nguvu kubwa ya polisi kutumika,

Ikiwa hali utakua mbaya zaidi basi nguvu ya jeshi itatumika.

Ujumbe ni kwamba analitambua hili suala na yuko tayari kukabiliana nalo. Kwahiyo alikua anataka na sisi tufahamu hilo pia(walengwa Ujumbe umewafikia).
Sasa kwanini tutumie njia ya gharama kubwa hivyo? Si Bora tuwe na transition government Ili tuanndike kwanza Katiba ndiyo tuchaguane? Hapo huoni Rais amewekwa kwenye angle ambayo inaonyesha yeye anachotaka ni uchaguzi tu bila kujali kama nchi itakuwa salama au la? Je ni hitaji la watanzania?

Then unaliweka jeshi njia panda, litumike kumlinda nani? Maana wakati wa uchaguzi vyama vyote vinatakiwa vilindwe sawa...Hili swala ni tete mno na busara itumike tusije vuruga nchi yetu Kwa tamaa za watu wachache wenye uchu wa madaraka
 
Na unfortunately chama chetu kinashindwa kujiweka vizuri katika hii situation ambayo kimepewa Imani yote na public, wao wanataka kuvunja hii trust
Upo sahii sana.... Na wananchi wakiamua hata uibe kula kazi ni Bure,,,, hata ukaripua mabom na kuua watu 1000000 Kwa siku ila kesho utawaona mtaani... Nadhani Ile mistake ya 2015 haikutoka ndani ya chama
 
Kama itakua hivyo basa nadhani watakua wamefikia maamuzi baada ya kujiridhishi kuwa hali hiyo ikitokea iko ndani ya uwezo wao(wanaimudu).
Sasa kwanini tutumie njia ya gharama kubwa hivyo? Si Bora tuwe na transition government Ili tuanndike kwanza Katiba ndiyo tuchaguane? Hapo huoni Rais amewekwa kwenye angle ambayo inaonyesha yeye anachotaka ni uchaguzi tu bila kujali kama nchi itakuwa salama au la? Je ni hitaji la watanzania?

Then unaliweka jeshi njia panda, litumike kumlinda nani? Maana wakati wa uchaguzi vyama vyote vinatakiwa vilindwe sawa...Hili swala ni tete mno na busara itumike tusije vuruga nchi yetu Kwa tamaa za watu wachache wenye uchu wa madaraka
 
CHADEMA hata wao wenyewe hawajitambui na wala hawajui wanataka nini na wanasimamia nini.yaani wapo wapo tu kama manyumbu
Unazungumziaje wakimbizi waliopenyezwa kwenye nafasi ambazo hata wewe ungeweza kukaa na kufanya kazi na kuacha uchawa na kupoteza muda huku mitandaoni
 
Back
Top Bottom