RAIS SAMIA S. HASSAN AHUTUBIA BARAZA LA EID EL FITR
RAIS wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Leo Mei 14 2021 ameungana pamoja na Waislamu wengine kwenye baraza la Eid El-Fitr kama mgeni rasmi... na kuzungumza... mbele ya Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zuberi, maUlama (mawlaama), masheikh, maimamu na makhalifa, Rais mstaafu Jakaya Kikwete, wageni mbalimbali waalikwa..
Source : Global TV online
Safi sana kupewa nafasi ya kuhutubia Baraza la Idd
Hii ni khabari njema kuona waTanzania wa aina zote kumpokea Rais mpya na kumpatia wasaa wa kuongea nao bila kujali imani zao, mifumo dume au kitu kinachoitwa kawaida au desturi zetu.
WaTanzania wote tumuunge mkono rais wetu aendelee kuchapa kazi.
BAKWATA Wamuomba RAIS SAMIA KUWASAMEHE MASHEHE WANAOSHIKILIWA GEREZANI kwa MUDA MREFU
RAIS wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Leo Mei 14 ameungana pamoja na Waislamu wengine kwenye baraza la Eid El-Fitr kama mgeni rasmi na Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) wametoa ombi lao kwa Rais wakati wakisoma risala yao ...wameomba kesi ya watuhumiwa hao kushughulikiwa kwa kasi zaidi na ikiwa la haiwezekani basi masheikh hao waachiwe huru kwa msamaha maana wameka gerezani muda mrefu bila kupata haki yao ya kuhukumiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.