Rais Samia sitisha Ndege Kuwapeleka Yanga SC nchini Algeria kwani kwa 99.9% Mabingwa watakuwa ni USM Alger FC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,929
122,054
Nashauri hiyo hela (Gharama) ya Ndege kuwapeleka wachezaji wa Yanga SC na wanachama wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba/kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.

Asanteni sana na mno USM Alger FC.
 
Nashauri hiyo Hela ( Gharama ) ya Ndege kuwapeleka Wachezaji wa Yanga SC na Wanachama Wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba / kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.

Asanteni sana na mno USM Alger FC.
Pale Mbumbumbu anapotokwa na damu mafichoni sababu tu ya utaahira uliomzidi kwa kuwa na chuki
 
Nashauri hiyo Hela ( Gharama ) ya Ndege kuwapeleka Wachezaji wa Yanga SC na Wanachama Wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba / kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.

Asanteni sana na mno USM Alger FC.
Naunga mkono hoja wametuaibisha..

Timu yenyewe Ina mchezaji mmja inajifanya ni mkubwa
 
Nashauri hiyo Hela ( Gharama ) ya Ndege kuwapeleka Wachezaji wa Yanga SC na Wanachama Wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba / kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.

Asanteni sana na mno USM Alger FC.
leo timu kubwa zote zinafungwa hata man city nae naona kafa km ilivyo kwa yanga so furahieni MAKOLO
 
Nashauri hiyo Hela ( Gharama ) ya Ndege kuwapeleka Wachezaji wa Yanga SC na Wanachama Wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba / kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.

Asanteni sana na mno USM Alger FC.
kama hawa wanaocheza faino wapuuzi vp wale wafa kiume tuwaiteje!!au ndo BORA ANDAZI!!
 
Mkuu GENTAMYCINE ahadi ya mfalme huwa haighairiwi, mfalme akiahidi kitu lazima akitimize hata kama ni kigumu, rejea mfalme Herode alipomuahidi kumpa zawadi kubwa hata nusu ya ufalme wake binti Herodia baada ya kucheza mpaka mfalme akafurahi.

Binti ikabidi aombe alichotaka na akapewa kitu hicho japo ilikuwa ngumu mfalme kukitoa. Yanga watimiziwe tu ahadi yao hata kama wataenda kufungwa ugenini hilo halitabiriki mpira unadunda, bado kuna dakika 90 yanga wanaweza kumpa kipigo cha mbwa koko USM Alger nyumbani kwao na kutwaa kombe wakarudi kwa furaha na mashabiki hao. Yanga daima mbele nyuma mwiko
 
Nashauri hiyo hela (Gharama) ya Ndege kuwapeleka wachezaji wa Yanga SC na wanachama wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba/kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.

Asanteni sana na mno USM Alger FC.
Nasikia ndege yenyewe inaumwa mafua ya ndege
 
Nashauri hiyo hela (Gharama) ya Ndege kuwapeleka wachezaji wa Yanga SC na wanachama wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba/kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.

Asanteni sana na mno USM Alger FC.
Yanga wapigwe tu waliponiboa sehemu za kushangilia na kuhamasisha mambo ya soka wanakuja na picha ya samia waache kuchanganya ccm na Yanga ila safari hii wacha watandikwe kwanza......... Acha inyeshe tujue wapi panavuja
 
Back
Top Bottom