KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,748
- 4,898
Leo Watanzania ni wajasiri sana wa kuhoji na kukosoa kijasiri Kila kinachofanyika bila hofu wala uoga ,sio mitandaoni wala mitaani nguvu ya kuhoji na kukosoa inaongezeka.
Nitakuwa mchoyo wa shukrani kama nisipompongeza kiongozi wetu shupavu Rais Samia kwa kutufikisha kwenye ujasiri huu.
Rais Samia ametujengea ujasiri wa kuhoji na kukosoa kiasi kwamba watu wana ujasiri wa kumkosoa Rais Samia kuliko kumkosoa Mbowe juu ya matumizi ya ruzuku na ukomo wa madaraka.