Rais Samia jenga barabara ya Kibaha - Chalinze, historia itakukumbuka daima

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
6,440
3,642
Rais Samia umekuwa Rais wa mfano kwa kukamilisha miradi ya aliyekuwa mtangulizi wako bila ya kupiga makelele. Hakika unastahili pongezi toka kwa mtanzania yeyote mwenye kuweza kufikiri kisawasawa.

Kwa kuwa tayari umeshaingia kwenye historia ya nchi kwa kuweza kusimamia miradi mikubwa na kwa ufanisi nakuomba kabla ya kuondoka madarakani 2030 uhakikishae ya kwamba barabara kuu ya nchi yaani kuanzia Kibaha hadi Chalinze inajengwa kwa kiwango cha njia sita.

Faida ya upanuzi wa hii barabara utakuwa na faida zifuatazo:

1. Muda wa kusafirisha mizigo toka bandari ya Dar kwenda mikoani itapungua kwa kiasi kikuwa

2. Rahisisha usafiri toka Dar kwenda mikoani.

Nawasilisha

Pia soma > Kampuni 3 za China zapendekezwa kujenga Barabara ya Njia 4 ya kulipia Tozo (Kibaha-Mlandizi-Chalinze)
 
Upo sahihi asinunue magari kwa miaka miwili na safari za nje zipunguzwa kama magufuli alivyofanya kwa 2 years hela ya barabara inapatikana vizuri kabisa
 
Rais Samia umekuwa Rais wa mfano kwa kukamilisha miradi ya aliyekuwa mtangulizi wako bila ya kupiga makelele. Hakika unastahili pongezi toka kwa mtanzania yeyote mwenye kuweza kufikiri kisawasawa.

Kwa kuwa tayari umeshaingia kwenye historia ya nchi kwa kuweza kusimamia miradi mikubwa na kwa ufanisi nakuomba kabla ya kuondoka madarakani 2030 uhakikishae ya kwamba barabara kuu ya nchi yaani kuanzia Kibaha hadi Chalinze inajengwa kwa kiwango cha njia sita.

Faida ya upanuzi wa hii barabara utakuwa na faida zifuatazo:

1. Muda wa kusafirisha mizigo toka bandari ya Dar kwenda mikoani itapungua kwa kiasi kikuwa

2. Rahisisha usafiri toka Dar kwenda mikoani.

Nawasilisha

Pia soma > Kampuni 3 za China zapendekezwa kujenga Barabara ya Njia 4 ya kulipia Tozo (Kibaha-Mlandizi-Chalinze)
ajenge na SGR dsm, tanga, moshi, arusha, musoma.
 
Ipo sgr kwa sasa.
 
Wakiweza kukamilisha ule mpango wa malori kupakilia mzigo bandari kavu ya Kwala/Soga tatizo la msongamano wa malori litapungua sana...
 
Hili halitawezekana.Maana mafisadi wamemzidi akili wanajilia tu Nchi watakavyo.Hadi Sasa kunamiradi mingi imemshinda mama kuimalizia ambayo ilikuwa umebaki kidogo kuisha.
 
Kwa hiyo BWAWA NA SGR AMEKAMILISHA KWA KUTIMIA NINI ? ACHA KUFUIKIRI KWA KUTUMIA MAKALIO AISEE
 
Sgr ilikuwa 80% wakati anarithi angeshwindwa kumaliza?Nioneshe kile kipande kutoka singida kwenda tabora Hadi mwanza kimefikia wapi?kimemshinda mama yenu,wakandarasi wamesusa na kazi imesimama
 
Tulishwazoea Nyumba kupinga kila kitu .
 
Back
Top Bottom