Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,319
- 72,742
Kuna jambo mmoja watu wengi hawajamuelewa Rais wetu au mfumo mzima wa CCM. Hawataki kuonekana kuwa wafanyalo linatokana na Wazo la wapinzani hata kama wazo hilo lina manufaa kwa taifa 💯 %.
Hivyo pamoja na Nape kufanya kosa hili kubwa sana la kimaadili ya uongozi maana kauli yake sio kwamba tuu inaweza leta machafuko lakini inadhibitisha kuwa utawala wa CCM haukuingia madarakani kwa kura za kwenye box.
Lakini hiyo ndio hulka ya watu wabinafsi na wapenda sifa, kudharau ushauri wa wengine hata kama una manufaa kwani sifa zitaenda kwingine.
Msishangae Nape kupewa majukumu mazito zaidi sio kwa vile anastahili, bali kuwakomoa nyie wengine.