NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,285
- 1,924
Sijawahi kuipenda CCM tangu uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi wa mwaka 1995 kipindi hicho nakumbuka nilikuwa darasa la tano.
Lakini nilikuwa navutiwa na utendaji wa baadhi ya viongozi wa serikali ya CCM katika idara mbalimbali mfano wa viongozi hao wa chache ni Lyatonga Mrema, Samuel Sitta, professor Mwandosya, Jaji Warioba, professor Asadi n.k
Turudi kwa Jerry Slaa sina haja ya kuweka maelezo mengi juu ya utendaji wake wa kazi katika wizara ya ardhi mimi ni miongoni mwa watu ambao tulikuwa tunamfuatilia kwa makini jinsi alivyokuwa anatimiza majukumu yake kutatua migogoro ya ardhi sehemu mbalimbali za nchi hii iliyodumu kwa miongo kadhaa iliyopita.
Kwa kweli wananchi maskini na wanyonge walipata haki zao zilizoporwa na mafisadi papa kwa kushirikiana na viongozi waliokosa uadilifu tena walifikia hadi kunajisi mahakama na 'documents' zao feki.
#Mama bring back Jerry Slaa wizara ya ardhi.
Pia soma > Jerry Silaa kutolewa ardhi, tutarajie tena migogoro ya ardhi kuanza kuibuka upya na matapeli wa ardhi kuanza kutembea vifua mbele