JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,731
- 6,537
Amesema hayo wakati wakati wa Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, leo Jumatano Februari 5, 2025 Jijini Dodoma.
Pia soma ~ Dodoma: Yanayojiri Miaka 48 ya Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa CCM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na uoga dhidi ya Wapinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.

CCM waiba kura hao hawana baya hao.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na uoga dhidi ya Wapinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Amesema hayo wakati wakati wa Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, leo Jumatano Februari 5, 2025 Jijini Dodoma.
Pia soma ~ Dodoma: Yanayojiri Miaka 48 ya Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa CCM
Kishindo cha wakoma kinawakimbiza washami..Mama Abduli ndio wa kwanza kuingiliwa na pepo la uoga, ndio maana hataki Tume Huru ya Uchaguzi.
CCM nyie mna dola na majini sisi tuna Mungu muumba wa mbingu na ardhi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na uoga dhidi ya Wapinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Amesema hayo wakati wakati wa Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, leo Jumatano Februari 5, 2025 Jijini Dodoma.
Pia soma ~ Dodoma: Yanayojiri Miaka 48 ya Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa CCM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na uoga dhidi ya Wapinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Amesema hayo wakati wakati wa Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, leo Jumatano Februari 5, 2025 Jijini Dodoma.
Pia soma ~ Dodoma: Yanayojiri Miaka 48 ya Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa CCM
JK hana amani ameshagundua kuwa mchezo alioleta unaenda kuwa maafa makubwa kwa CCMRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na uoga dhidi ya Wapinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Amesema hayo wakati wakati wa Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, leo Jumatano Februari 5, 2025 Jijini Dodoma.
Pia soma ~ Dodoma: Yanayojiri Miaka 48 ya Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa CCM
Yaani hapo ndio ujue dozi za CHADEMA zinaingia vizuri sasa. Hongera CDM!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na uoga dhidi ya Wapinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Amesema hayo wakati wakati wa Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, leo Jumatano Februari 5, 2025 Jijini Dodoma.
Pia soma ~ Dodoma: Yanayojiri Miaka 48 ya Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa CCM
Kwa SAMIA anajua wapinzani ni akina Lissu tu,hv anadhani wanaCCM Wamependa sana uhuni alioufanya mwezi tuliopita pale Dodoma anadhani wameridhika na wanampenda sana,mwambieni SAMIA ajiandae kisaikolojia kwa changamoto za ndani ya Chama chake na nje ya CCM.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na uoga dhidi ya Wapinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Amesema hayo wakati wakati wa Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, leo Jumatano Februari 5, 2025 Jijini Dodoma.
Pia soma ~ Dodoma: Yanayojiri Miaka 48 ya Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa CCM
Nilijua ni mimi tu aise..hotuba nyepesi mnoo hazina mvuto..huyu Mama akizungumza huwezi kumfuatilia kabisa.
..hotuba zake ni very boring. Ziko very plain and not specific to anything.
AjabuYeye mwenyewe mbona kawaogopa wapinzani ndani ya chama?
AMeongea kama mwenyekiti wa chama sio raisi wa tanzania. Elewa muktadha aliokuwepoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na uoga dhidi ya Wapinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.