Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa, Korea, Juni 3, 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
3,886
13,641
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024.

View: https://www.youtube.com/watch?v=3MuZRVjIipc
===
GPIhYTBWAAER-XD.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea.

GPIh80kWYAAPdnP.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr wa kwanza kulia, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea.

GPKZGLiXYAcFOml.jpg

Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Profesa Hee Young Hurr akiwa pamoja na baadhi ya Viongozi wa Chuo hicho wakipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia Chuoni hapo Jijini Seoul.
 
Naamini hata vyuo kama Havard au Yale kutoka Nchini Marekani pamoja na vile vya Oxford na Cambridge kutoka Uingereza vitakuwa vinakamilisha utaratibu wa kumualika Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi na kumpatia Udaktari wa heshima.hii ni kutokana na uongozi wake kuleta mageuzi chanya na kugusa maisha ya wengi.

Mfano Rais Samia kwa sasa ndio kinara katika kuhamasisha matumizi ya Nishati safi ya kupikia Ulimwenguni kwote..

Rais Samia ndiye kinara katika kumfungulia njia mtoto wa kike kupata Elimu na kutimiza ndoto zake kwa kumuondolea vikwazo mbalimbali vilivyokuwa vikikwamisha ndoto za mtoto wa kike kupata Elimu.

Ipo siku yaja Rais Samia Mama yetu Mpendwa atapokea tuzo ya Nobel pamoja na ile ya MO Ibrahim
 
Jemadari wa nn huyo mother!
 
Back
Top Bottom