Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,739
- 13,503
Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagizi waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Suleiman Jafo kuandaa katazo na kupiga marufuku matumizi ya Kuni na Mkaa kwa tasisi zote ambazo zinahudumia watu zaidi ya 100 na kutumia nishati safi ili kuhakikisha watanzania wengi wanatumia nishati safi ya kupikia, Rais Samia ameyasema hayo katika Hotuba yake aliyoitoa Leo Mei 8, 2024 kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati safi ya Kupikia.
MATUKIO KATIKA PICHA-UZINDUZI MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034.
Hafla hiyo inafanyika (leo) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam.
Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan