Rais Ruto apunguza bajeti ya Safari za nje Ksh 11 Bilioni, Bongo sio rahisi hili

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
4,123
10,915
Ili kuokoa pesa ya kigeni safari za nje Kenya,Ruto ameamua kupunguza Bajeti yake kwa Billion 11Ksh sawa na kama Tsh Billion 198 hivi.

Kwa Tanzania hili Mama hawezi jaribu hata siku moja make atawaudhi sana wale watakao msaidia kwenye kampeni zijazo. Mama kwa sasa amewekeza vilivyo katika kuwafurahisha watu watakao msaidia kwenye kampeni.

Ziara za Rais Samia kwa Wastani hutumia Billion 10 hio ni safari moja hasa za nje ya Africa. Ile ziara ya India bajeti ili bust baada ya kubeba makada wote ili kuwaridhisha.

FB_IMG_1698426571090.jpg
FB_IMG_1698484009413.jpg
 
Kabla hata hatujajua tunapunguza ngapi; kwanza tungefahamu ni ngapi tunatumia.....

Thinking again ignorance a Bliss; wengi wetu tukijua huenda Mashinikizo ya Moyo yakazidi...
 
Ili kuokoa pesa ya kigeni safari za nje Kenya,Ruto ameamua kupunguza Bajeti yake kwa Billion 11Ksh sawa na kama Tsh Billion 198 hivi.

Kwa Tanzania hili Mama hawezi jaribu hata siku moja make atawaudhi sana wale watakao msaidia kwenye kampeni zijazo. Mama kwa sasa amewekeza vilivyo katika kuwafurahisha watu watakao msaidia kwenye kampeni.

Ziara za Rais Samia kwa Wastani hutumia Billion 10 hio ni safari moja hasa za nje ya Africa. Ile ziara ya India bajeti ili bust baada ya kubeba makada wote ili kuwaridhisha.

View attachment 2795623View attachment 2795625
If you work hard, travel is a must for a new exposure, utapataje aidia mpya?, - Ruto ameanza kufeli kiutawala, brain yake Imefikia limit, can't moves forward....
VIONGOZI WETU TANZANIA SAFIRINI KWELIKWELI LAKINI SAFARI HIZO ZIWE NI ZILE ZINAZOLETA TIJA KWA WATANZANIA, AKILI SIO KUJIFUNGA NDANI KAMA KUKU.
 
Ili kuokoa pesa ya kigeni safari za nje Kenya,Ruto ameamua kupunguza Bajeti yake kwa Billion 11Ksh sawa na kama Tsh Billion 198 hivi.

Kwa Tanzania hili Mama hawezi jaribu hata siku moja make atawaudhi sana wale watakao msaidia kwenye kampeni zijazo. Mama kwa sasa amewekeza vilivyo katika kuwafurahisha watu watakao msaidia kwenye kampeni.

Ziara za Rais Samia kwa Wastani hutumia Billion 10 hio ni safari moja hasa za nje ya Africa. Ile ziara ya India bajeti ili bust baada ya kubeba makada wote ili kuwaridhisha.

View attachment 2795623View attachment 2795625
Wameanza kumuiga Mwamba ??!
Watu wanakopa pesa halafu wanaenda kuzitumbua majuu !!
Ni lazima mtu makini ashituke !!
 
Back
Top Bottom