Rais Ruto aorodheshwa kutoa ushahidi Mahakamani agoma na atuma Ujumbe kuwa Yeye ni Rais asihusishwe na mambo ya Kesi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,133
164,557
Wakati jopo la Mawakili wa Gachagua likimtaka Rais Ruto afike Mahakamani yeye Binafsi kutoa ufafanuzi wa mambo kadha wa kadha Rais Ruto amekataa

Ruto amesema kwa mujibu wa Katiba ya Kenya Rais hawezi kuitwa Mahakamani kutoa ushahidi

Majaji Watatu wataamua kama Ruto afike Mahakamani ama la

Citizen TV
 
Back
Top Bottom