Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,323
- 7,712
Rais Ruto anaendelea na ziara yake ya kuwatembelea Wakenya majumbani mwao.
Leo alikuwa Kisii na kama kawaida ameinza siku kwa kupata chai ya maziwa na Mkate akiwa na wenyeji wake.
Ingekuwa bongo, tungeambiwa hao wote pichani ni TISS