Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Wakati Rais Barrack Obama alipochaguliwa kuwa kiongozi wa Marekani mwaka 2008 alikuja kauli Mbiu Change We Can Believe In. Rais Obama anaondoka madarakani akiacha dunia hii si salama na kama kuna uwezekano ile Nobel Price aliyopewa mwaka 2009 ilikuwa ni makosa makubwa sana. Sababu kubwa ya kuamini :
1. Kushindwa kusimamisha vita mashariki ya kati.
2. Kuhusika kwake na majeshi NATO kumuondoa na kumuua kiongozi wa Libya Mohamed Ghaddafy, na kuifanya nchi hiyo kuwa isiyotawalika na kusababisha wimbi la wakimbizi kutoka Afrika kwenda Ulaya kuongezeka kwa kasi na maelfu kupoteza maisha yao kwa kufa majini.
3. Kutoa amri ya mauaji ya maelfu ya watu wasio kuwa na hatia kwa kutumia Drones, katika nchi za Afghanistan,Iraq,Yemen,Somalia nk.
4. Kuanzisha vita vya Syria ambapo maelfu ya raia wasiokuwa na hatia kuuawa (Aleepo), pamoja na kuharibu miondo mbinu.
5. Chini ya utawala wake shirika la ujasusi la Marekani ilianzisha kikundi cha kigaidi Islam States ikichukua nafasi ya Alqaeda.
6. Kuanzisha vita baridi na Russia na kuhatarisha kutokea kwa vita vya tatu vya dunia
Nikimaliza Rais Obama anaondoka Madarakani akiacha dunia hii si salama kabisa, wananchi wa Marekani dunia kwa ujumla walisherekea kwa furaha kubwa wakati alipoingia madarakani lakini Rais Obama anaondoka madarakani akiiacha dunia hii na masikitiko makubwa.