Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,088
- 725
KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
📍 Kisiwandui Zanzibar
🗓️24 Juni 2024
Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC) akiwa na Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter kunambi (MNEC) wakiwa katika kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
Kikao hicho kilichofanyika tarehe 24 Juni, 2024 katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kimeongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi.