Nilifikiri amekufa
Picha kama hii inakufanya unaanza kuwonder kama mzungu angebakia mpaka Leo Tanzania ingekuwa katika hali gani!!
Mmmmh... Kumbe naye alikuwa anapenda kucheza michezo kama hii kama Vasco wetu...Picha kama hii inakufanya unaanza kuwonder kama mzungu angebakia mpaka Leo Tanzania ingekuwa katika hali gani!!
Huyo mzee alieko katikati ya Mwinyi na Komandoo Salimin Amour ndo nani tena maana katika histori yangu atakuwa ni rais ambae hakutajwa sana kwenye maskio ya watu wengi sana
Nilifikiri amekufa
Picha kama hii inakufanya unaanza kuwonder kama mzungu angebakia mpaka Leo Tanzania ingekuwa katika hali gani!!
Huo ulikuwa ni ufunguzi wa Karikoo, Eneo la burudani kwa watoto. Ujenzi wake ulitokana na mapato ya karafuu na sio wazunguMmmmh... Kumbe naye alikuwa anapenda kucheza michezo kama hii kama Vasco wetu...
Kumbe usanii ulianza zamani tu!
ndugu hizi bembea hazikujengwa na wazungu....alijenga mwenyewe jumbe kule znz na pemba ni viwanja vya kufurahishia watotoPicha kama hii inakufanya unaanza kuwonder kama mzungu angebakia mpaka Leo Tanzania ingekuwa katika hali gani!!
Nilifikiri amekufa
Bado nashangaa!!!Huo ulikuwa ni ufunguzi wa Karikoo, Eneo la burudani kwa watoto. Ujenzi wake ulitokana na mapato ya karafuu na sio wazungu