Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,792
- 3,284
Mwamba anaitwa joseph aoun. Aliwahi kuhudumu kama jenerali katika jeshi la Lebanon.
Yeah!.. hapo atahitaji uungwaji mkono kutoka Saudia, Ufaransa na Marekani Ili amudu hiloKibaraka wa Marekani huyo. Ngoja tusubiri tuone kama atafanikiwa.
Hawezi labda kama anataka kufa amesimama wimaMwamba anaitwa joseph aoun. Aliwahi kuhudumu kama jenerali katika jeshi la Lebanon.
View attachment 3199797
Hajasema kuwa hata hiyo ni kwa maslahi ya WakristoAwe na akiba ya maneno.na akumbuke jinsi Hezbollah walivyopigana Bega kwa Bega na wakristo dhidi ya masalafi wa kisuni Lebanon. Kuanguka kwa Hezbollah ni kuwa expose wakristo wa Lebanon dhidi ya masalafi wa kisuni.
hahajahahahahndg yangu kwenye mafunzo mbalimbali ...Mimi mtanzania yeye muyahudi ...namfahamu kabisa