mansakankanmusa JF-Expert Member Sep 30, 2010 4,162 794 May 8, 2017 #1 Atakae tazama hii video wakati ukiwa katika kazi zako ataona wewe ni rafiki lakini ni mkali inapobidi uwe hivi hivi katika taasisi nyingine Nchi itasonga mbele badala ya kutengeneza bifu na watendaji wako. Shtukiza hata kwangu njoo ofisini uwe rafiki badala ya ubabe ubabe. Hii inanifanya nipende kufanyakazi na wewe tena usiku na mchana.
Atakae tazama hii video wakati ukiwa katika kazi zako ataona wewe ni rafiki lakini ni mkali inapobidi uwe hivi hivi katika taasisi nyingine Nchi itasonga mbele badala ya kutengeneza bifu na watendaji wako. Shtukiza hata kwangu njoo ofisini uwe rafiki badala ya ubabe ubabe. Hii inanifanya nipende kufanyakazi na wewe tena usiku na mchana.
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 May 8, 2017 #2 Yupo kwenye chama chake ndiyo maana anaongea Pointi tupu
mansakankanmusa JF-Expert Member Sep 30, 2010 4,162 794 May 8, 2017 Thread starter #3 Awe hivi kote kwa kweli..ni uungwana wa hali ya juu