Kubomoka kwa CUF ni mchakato wa kutengeneza dude lingine lenye nguvu, Rais wetu ana akili nyingi sana na ni mwanasayansi, anafahamu kuwa nguvu huwezi kuipoteza au kuiharibu bali unaweza kuibadili na kuwa nguvu ya aina nyingine. Nguvu ya CUF huwezi kuipoteza wala kuiharibu ila unaweza kuitransform kwenda kwingine. Mh. Prof. Lipumba anatumika tu hapa kama catalyst katika kuitransform nguvu ya CUF kuwa aina nyingine ya kani kama alivyokuwa mh. Lyatonga. Msajiri anatumika tu hapa kama mhandisi kwenye process hiyo.