Ndugu Mh Rais Magufuli, binafsi na kwa muono wangu ningependa kukushauri kama ifuatavyo.
1.Idara mhimu kama TPA, TRA, TTCL, ATC, Reli na Uongozi wa hospitali ya kwamba wahamishe wafanyakazi wote kutoka hizo idara (uongozi).
2. Ajiri wafanyakazi wapya kabisa ktk hizo idara, wafanyakazi ambao hawajapata kuwa wafanyakazi wa serikali.
3. Kazi iwe ni ya contract, yani mkataba wa mda mfupi mfupi.