Tatizo lenu [HASHTAG]#mabashite[/HASHTAG] hamna uwezo wa kufikiri, and if you can't think and reason you are doomed, fair and square!Na siku akija kusema watanzania ni wajinga...Uje umwambia "Ukisema sisi wajinga uwe unamaanisha tunaakili sana"
Duh! shetani ?!Tumieni majina yenu halisi mkiwa mnamshauri ili ajue anashauriwa na binadamu au shetani
Mawazo yako unataka mwenzako ndiye ayaseme? Hayo ni yako, ya kwake ameshayasema.Na siku akija kusema watanzania ni wajinga...Uje umwambia "Ukisema sisi wajinga uwe unamaanisha tunaakili sana"
Yeye hajiamini pna wala hana chochote cha kujiamin ila analiamin jeshi linalo mlinda hivyo hajiamin yeye anaamin vyombo vya ulizi vinavyo mzungukaKuna mchungaji wangu mmoja siku moja katika mahubiri kanisani aliwakemea watu wenye tabia ya kutafuna "Big G" wakati wa ibada kanisani na baadaye kutema uchafu wao huo sakafuni au kwenye viti kwamba tabia yao hiyo ilimaanisha "KUKOSA KUJIAMINI". Ni miaka mingi sana na tangu wakati huo nimelielewa neno KUJIAMINI kwa namna ya tofauti sana!
Kwamba KUJIAMINI kunamaanisha kutokutenda jambo lolote kinyume na matajirio ya wengi, kwamba kujiamini hakumaanishi kutokuwa mwoga, hakumaanishi kuwa mtu wa mashindano, mbishani, mkaidi, jeuri, mnyanyasaji, mbabe na kuwa mtu asiyejali hisia ama maumivu ya watu wengine. Kujiamini kunamaanisha kinyume ya haya!!!
Sasa sisi tuanendelea kutoa tu rai kwa kiongozi wetu Rais Magufuli kwamba anaposema anajiamini basi awe anamaanisha kuwa yeye ni kiongozi mwadilifu, mwenye kutenda kwa haki, mwingi wa maarifa, upendo na mwenye kuwajaza matumaini watu wake. Kinyume na hivi ni kujitafutia anguko lisilokusudiwa, na kushindwa kunakoepukika
Mungu ibariki Tanzania
We taahira nini ndiyo ni mawazo yanguMawazo yako unataka mwenzako ndiye ayaseme? Hayo ni yako, ya kwake ameshayasema.
Unajua dunia hii kuna mengi...Duh! shetani ?!
Sawa taahira mwenzangu!?We taahira nini ndiyo ni mawazo yangu
Sasa mkuu hapo mwenyewe ndio unatakiwa ujiongeze, unaangalia ushauri ukoje, unakupeleka pazuri au unakupoteza. Una lengo zuri au baya.Unajua dunia hii kuna mengi...
Ushauri unaotolewa kwenye mitandao ya kijamii unakuwa huna uhakika kama una lengo zuri au baya. Pia hujui unatoka kwa binadamu, roboti au shetani.
Niwapongeze wanaotumia majina halisi.