Rais Magufuli tunyooshe tu,kama ndio hivi wapinzani wanavyo tufanyia sisi WANANCHI..

Kibstec

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,205
2,338
Hapana Wapinzani wa nchi tumewachoka kwa kweli...NYIE KILA SIKU NI KUBADILISHA maneno na kusahau kile ambacho mlikuwa mna kipigania AWALI....lets be honest kwa tabia yenu hii KAMWE sisi WANACHI hatuwezi waamini tena.....

Kwanini nasema hivi kutokana na haya yafuatayo..
-Kweli kabsa kwenye kipindi cha awamu zilizo pita mlipiga kelele kweli juu ya UFISADI ya kuwa unaipoteza nchi hii sasa leo kapatikana Mbabe wa kulisimamia hili na mpaka sasa tunaona matokeao yake NYIE NDIO KWANZA mnaanza kulialia.....
-Mlikuwa mnasema tunaibiwa sana kwenye MCHANGA WA DHAHABU leo kaja msimamiaji wa hiki KILIO CHENU mnaanza kubadilisha gia ANGANI hivi tuwaelewe vipi sisi WANANCHI??mfano mdogo tu ni kauli iliyo tolewa na ZITTO humu JF na tena huyu ndio alikuwa mstari wa mbele kweli kulipigania hili leo ndio kaja kuwa mstari wa mbele kupinga kauli yake...Huu ni UNAFIKI WA HALI YA JUU SANA,

-Ishu ya MADAWA ya kulevya mmeipigia kelele kweli KAPATIKANA Muhusika wa kupambana na hili NYIE NDIO MMEGEUKA watetezi WA MADAWA na hata kuwafuga chumbani kwenu.... KWA MTINDO HUU MSAHAU NCHI HII aiseeh
-Mlitukana sana JK ya kuwa ni RAIS dhaifu na mpole amekuja mkali mnaanza Kulia lia mnasema RAIS ni dikiteta.. uzuri ni kwamba hata JK wakati anaondoka ALIWAKUMBUSHIA KAULI yenu ya KUWA mliinita mimi MPOLE haya sasa nawaachieni CHUMA hiki....sasa udikteta unatoka wapi???

-Mlikuwa mnapinga sana safari za NJE za JK sasa kapatikana RAIS wa kulitekereza hili MNAKUJa NA PUMBA ZENU oooh RAIS anaipoteza TANZANIA kimataifa, mara oooh RAIS HAENDI NJE SABABU HAJUI kiingreza SA SIJUI mliambiwa SISI WATANZANIA tunakula KIINGEREZA.....

ACHENI UNAFIKI kabsa tunacho kiona HAPA KWA ASLIMIA kubwa ni UWOGA wenu wa kuona MAGUFULI anatutimizia KILIO CHETU sisi WATANZANIA, NDIO MAANA KILA SIKU NYIE NI KUTULETEA TAHARUKI huku mitaani na kutupotosha juu ya MAGUFULI ili hali hata sisi tunajionea UTENDAJI wake uliotukuka kweli.....
Ikifika 2025 tunaweza badilisha hata KATIBA tukamuongezea mingne na AKIONDOKA tunamuomba atuachie mtu WA karba YAKE......maana tuwewachoka na UNAFIKI wenu

RAIS MAGUFULI USISIKILIZE HAWA WAPUUZI we tunyoooshe tu MPAKA akili itengemae na utuachie UPINZANI UNAOJITAMBUA....

kibaya zaidi hawa WAPINZANI NDIO wachafu balaa machafu yote ndani ya NCHI HII ni wao na ndio WALEZI wakuu.....mfano mdogo tu mpaka leo hii yameshindwa kutupa mrejesho BEN yupo wapi hata HAWAONYESHI KUFATILIA NA KULITILIA MKAZO jambo hili mwisho wa siku wanabaki kukinzana kauli wao kwa wao.....sasa kama wanashindwa IJALI NYUMBA YAO NA KUJUA WANAFAMILIA WAO wapo wapi MTAWEZAJE kutulinda sisi WATANZANIA.......

nyota njema huonekana asubuhi
 
Sio wakwanza kusema wapinzani wagonjwa but toka tuanze campen na uchaguzi naona waupande wenu wanaondoka tu sijajuwa ugonjwa huu unafanyaje
nakuna mtu mgonjwa sana hata kwenda kuleee upande wapili wa dunia haendi atakuwa Mbowe huyuuuuu
 
Vichaa na mataahira ni wapinzani. Wewe fikiria
1.Lowasa fisadi=Baada ya kuhongwa hela, siyo fisadi
2.Wazungu wanatuibia kupitia mchanga=Baada ya kuhongwa hela ni kosa kuzuia usafirishaji wa mchanga nje ya nchi
3...
Kama visadi mahakama ipi amehukumiwa bora ya visadi kuliko huyo wa kwenu .
 
Yani hyo title na hizi coments hapo ni chakula tosha kwangu kudhihirisha ulicho post ni pumba na bora sija isoma .Ovyo sana Green housefly...
 
Usipowaamini wewe wengine wataamini,usiwe unaandika hoja ambazo hazina maana,usitake uwe unaonekana kuwa nawe umeandika,uje na hoja zilizoshiba au na wewe ni bashite. Uwe na aibu au njaa ndizo zinawasumbua??
 
NAKUONYESHA ni jinsi GANI ulivyo mnafiki na HAUNA moral authority ya kunitukana na mimi AS WELL AS KUMNYOOSHEA KIDOLE RAIS.....
Wewe ni mgeni naona kwenye siasa.. Kwenye siasa always unakuwa dynamic.. Hakuna rafiki wa kudimu wala adui wa kudumu.. ndo maana unasikia sehemu nyingine vyama vyenye uhasimu lkn inafika wakati wanaungana kuunda serikali..

Wassira alikuwa ni mmoja wa waanzilishi wa Chadema, lkn huyo huyo ndo aliekuwa anaongoza vita ya kutaka kukiua Chadema aliporudi ccm..

Kama hutoelewa kwa hiyo mifano michache hapo juu, basi hutoelewa hata ukiambiwa na kuonyesha nini..
 
Unajua maana ya maneno haya?
-Chama cha upinzani
-Chama tawala
-Chama cha siasa.
Kinachotuuma ni takwimu hewa zinazotolewa kiasi kwamba hata kama hujamaliza shule ya sekondari unajua tu kuwa mambo mengi yanayohusu kubana matumizi kama vile safari za nje ni UONGO mkubwa.
Halafu maendeleo gani haya yanayofanya hali ngumu ya maisha kwa wananchi watoa jasho?, anakuja mtu na mabange yake anasema ananyoosha sayari. Kunyoosha sayari gani huku kunakompelekea mpika vitumbua aishi maisha magumu, au kunyoosha gani familia huku unawaambia wafanyakazi wachape kazi huku haki zao umeziweka mfukoni?
Yaani wakati mwingine kabla hujampigia kura mtu kuongoza mamilioni umtazame kwanza jinsi anavyoibalance familia yake.
 
Hivi unatumiaga makalio au kichwa chako kidogo kufikiria
 
Wote wanaounga hoja humu hamjui maana ya upinzani. Kwa mfano wapinzani wakawa upande wa raisi nani atampa changamoto raisi? Waacheni wapinzani wawe wanafanya hivyo ili raisi ajue kuwa kumbe ana mambo ya kufanya
 
"Waambile wasikile"!Wanataka waseme na kusimamia na kutekeleza wao,wanahofu sera zao zinafanyiwa kazi miaka mitano ijayao wata campaign vipi?
 
Wew Hao jamaa aliye waloga alifariki tarehe 25 /10/2015 Kwahyo hawawezi kukuelewa coz wengi Wao kama misukule mazuri hawazungumziii wanakaa kuongeza uongoo kwa kila jambo, yani hao ni mapopo sio mabundiiii
Wanatengeneza mpaka nakala feki alafu wanalaani vyeti feki! Ridiculous really!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…