Nitafutie mwanasiasa ambaye alitimiza angalau 50% tu ya ahadi zake za uchaguzi. Wakati wa uchaguzi, these people can say and promise ANYTHING. Ndiyo maana siasa ikaitwa mchezo wa kula, kuliwa, kulana, kulika, kuliana...na kila tabaka lina nafasi yake katika ulaji, uliwaji, ulikaji, ulanaji, ulianaji huo. The question is, wewe uko wapi? Kama siyo mlaji, unafanyeje ili uondoke huko uhamie kwingine? Na unaweza kujivika jukumu la kuwasaidia na wengine watoke huko kwenye uliwaji....naomba mtukufu uitazame hii clip kwa makini ujibu maswali yafuatayo:-
kwa heshima na tahadhima naomba kuwasilisha!
- Dakika 1:30 uliuliza...... "hivi kweli sisi tunashindwa kutengeneza furnace yenye uwezo wa ku-generate heat kiasi cha 1000 degrees Celsius"
- Swali kwako: Je hilo linawezekana sasa kwako?
- je, ungependa upewe miaka mingapi ulitimize?
- je, kuzuia kupeleka mchanga Japan ndio suluhisho?
- una plan nyingine yeyote endapo tutaachiwa mgodi kuuendesha wenyewe au nasi tutapeleka wenyewe mchanga Japan kwa ajili ya kuuprocess?
- Dakika 1:46 ulisema hivi..."ila acha tu, tuibiwe hivyo hivyo..."
- Je ni kweli unaushahidi kuwa tulikuwa tukiibiwa?
- Je, ulimshauri mkuu wako kwenye baraza la mawaziri?
- Ni kweli ulikuwa ukiridhika tunapoibiwa bila ya kupaza sauti, ulikuwa unangoja hadi uwe raisi ndio uweze kuzuia uovu?
- je, na sisi tusubirie hadi tutakapokuwa maraisi ndio tuanze kukemea uovu?
- Dakika 1:50 ulipewa ushauri huu..."chukua fomu basi!"....
- si ulisema kuwa hukushauriwa kuchukua fomu ya kugombea?
- Dakika 2:00 ulisema hivi..." Mimi watu watalimia meno!"..
- Je, tulikuwa wakosefu kiasi hiki au unatuhukumu kutimiza ahadi yako?
No!Nitafutie mwanasiasa ambaye alitimiza angalau 50% tu ya ahadi zake za uchaguzi. Wakati wa uchaguzi, these people can say and promise ANYTHING. Ndiyo maana siasa ikaitwa mchezo wa kula, kuliwa, kulana, kulika, kuliana...na kila tabaka lina nafasi yake katika ulaji, uliwaji, ulikaji, ulanaji, ulianaji huo. The question is, wewe uko wapi?
Afadhali umumuuliza swali zuri!! Rais siyo Mungu kwamba atimize ahadi zoteMkuu ahadi ulizotoa kabla ya kuoa/kuolewa je umeweza kuzitimiza zote baada ya kuoa/kuolewa?
Namuuliza raisi wangu!Usimjaribu mheshimiwa
Mod usiondoe maana video IPOOOModes ondoa huu ujinga!
NenoNo!
hili linalojadiliwa hapa, raisi amelifanyia kazi kama mjadala huu ulivyoenda!
amelalamika kuibiwa, na ameshalifanyia kazi kwa kuzuia mchanga kusafirishwa nje..!
lakini yeye alisema kuwa tatizo letu ni dogo sana la kushindwa kutengeneza furnace ya ku-heat huo mchanga!
so wengine tunataka kujua je, kwa sasa hilo haliwezekani?
Ngoja tuusubiri tuone huo mchanga ulioko bandarini wataufanya niniNo!
hili linalojadiliwa hapa, raisi amelifanyia kazi kama mjadala huu ulivyoenda!
amelalamika kuibiwa, na ameshalifanyia kazi kwa kuzuia mchanga kusafirishwa nje..!
lakini yeye alisema kuwa tatizo letu ni dogo sana la kushindwa kutengeneza furnace ya ku-heat huo mchanga!
so wengine tunataka kujua je, kwa sasa hilo haliwezekani?