Msingida mbona unasubiria mkono wa binadamu udondoke kama afanyavyo fisi???!Huyu Rais wa awamu hii,pamoja na mapungufu yake,ndiye Rais anayehitajika kipindi hiki kuliko vipindi vyote!
JPM aungwe mkono na Watanzania wote,(watawala kwa wapinzani).Akosolowe pale anapoenda kinyinyume na taratibu,lakini asamehewe na AOMBEWE kama alivyoomba.
Tuendelee kumkumbusha atumbue Escrow,EPA,Dowans na Richmond.Hayo majipu yatadhirisha nia yake ya dhati kupambana na ufisadi uliokithiri.
Tofauti na hapo atakuwa amepoteza mda,na atahesabiwa kuwa Rais ambaye ni Mbaya kuliko Rais wa awamu zote.
Kadiri siku zinavyokwenda pamoja na kuunga mkono baadhi ya hatua anazochukua Ndugu Rais #Magufuli kwa lengo la kujenga taifa mpya.
Nasikitika kumtabiria #Anguko kubwa ambalo hatutakaa tulisahau. Kwanza ieleweke vema kwamba naunga mkono jitihada zake ila kwa mtazamo wangu, Ndugu Magufuli hana haiba ya #Uongozi wenye kuwatwisha wananchi jukumu la maendeleo yao.
Rais kwa mtazamo wangu, anahisi kwa kuwa yeye ni #AmiriJeshi basi kila mtu yuko chini yake. Kikatiba inawezekana ila katika ulimwengu wa leo cheo cha Rais hakina thamani endapo kitashindwa kushawishi #Wafuasi wakabeba maono yake kama kiongozi.
Watu watalazimika kufanya kazi kwa maigizo japo ndani yao hawamuungi mkono Rais kwasababu ameamua kutumia madaraka visivyo (Kutishia) badala ya kutumia madaraka #Kushawishi.
#Nyerere alikuwa dikteta ila watu walimuunga mkono kwakuwa aliamini katika ushirikiano na nguvu ya wananchi katika kuleta maendeleo. Ninaungana na Rais kwamba lazima awepo mtu wakuongoza katika vita ila sidhani kama hivi ni vita vya mtu mmoja, naamini ni vya wananchi wote.
Baada ya miaka kadhaa ijayo, nchi ingekuwa ya #Matunda na #Asali endapo;
1. Rais angekuwa jasiri na kurejesha #Katiba ya #Warioba bungeni na kwa kutumia ushawishi wake ahakikishe inapitishwa.
2. Rais angejikita katika kujenga taasisi huru na zenye nguvu ili tusimtegemee mtu binafsi katika vita hivi maana atapomaliza muda wake vipi akiingia wale jamaa wa dili wataendeleza dili au uadilifu?
3. Rais angetambua nguvu iliopo ndani ya wananchi, angetumia muda mwingi kuwafanya wananchi waone thamani, wajibu na madhara ya kila kitu wanachofanya (Sense of Responsibility) katika kila ngazi.
Ninatamani kuendelea ila naomba niishie hapa kwa sasa.
Hiyo ameomba mwenye kwenye kampeni na hata akiwa Rais.Msingida mbona unasubiria mkono wa binadamu udondoke kama afanyavyo fisi???!
Unataka rais aombewe ndio aweze kuongoza?!!
Tunamuombeaje mtu aliyeweka tumaini kwenye kupiga push up (anazitegemea nguvu zake mwenyewe)
Kwani alipokwenda kusali pale seinti jozefu akapewa kusoma neno hakuomba mwenyewe!!!
Usitake kutuaminisha kuwa maombi yatamfanya awe rais makini.
Aongoze kwa mujibu wa sheria.
Kadiri siku zinavyokwenda pamoja na kuunga mkono baadhi ya hatua anazochukua Ndugu Rais Magufuli kwa lengo la kujenga taifa mpya.
Nasikitika kumtabiria anguko kubwa ambalo hatutakaa tulisahau. Kwanza ieleweke vema kwamba naunga mkono jitihada zake ila kwa mtazamo wangu, Ndugu Magufuli hana haiba ya Uongozi wenye kuwatwisha wananchi jukumu la maendeleo yao.
Rais kwa mtazamo wangu, anahisi kwa kuwa yeye ni AmiriJeshi basi kila mtu yuko chini yake. Kikatiba inawezekana ila katika ulimwengu wa leo cheo cha Rais hakina thamani endapo kitashindwa kushawishi Wafuasi wakabeba maono yake kama kiongozi.
Watu watalazimika kufanya kazi kwa maigizo japo ndani yao hawamuungi mkono Rais kwasababu ameamua kutumia madaraka visivyo (Kutishia) badala ya kutumia madaraka Kushawishi.
Nyerere alikuwa dikteta ila watu walimuunga mkono kwakuwa aliamini katika ushirikiano na nguvu ya wananchi katika kuleta maendeleo. Ninaungana na Rais kwamba lazima awepo mtu wakuongoza katika vita ila sidhani kama hivi ni vita vya mtu mmoja, naamini ni vya wananchi wote.
Baada ya miaka kadhaa ijayo, nchi ingekuwa ya Matunda na Asali endapo;
1. Rais angekuwa jasiri na kurejesha Katiba ya Warioba bungeni na kwa kutumia ushawishi wake ahakikishe inapitishwa.
2. Rais angejikita katika kujenga taasisi huru na zenye nguvu ili tusimtegemee mtu binafsi katika vita hivi maana atapomaliza muda wake vipi akiingia wale jamaa wa dili wataendeleza dili au uadilifu?
3. Rais angetambua nguvu iliopo ndani ya wananchi, angetumia muda mwingi kuwafanya wananchi waone thamani, wajibu na madhara ya kila kitu wanachofanya (Sense of Responsibility) katika kila ngazi.
Ninatamani kuendelea ila naomba niishie hapa kwa sasa.
Umenena, lakini yote hayo yameshasemwa mara nyingi sana. Ukiona JPM anafumbia macho kuottangazwa matangazo ya bunge TBC1, ujue JPM ana walakini mkubwa. Mtawala bora angelikataa upuuzi huo. Ameubariki!Kadiri siku zinavyokwenda pamoja na kuunga mkono baadhi ya hatua anazochukua Ndugu Rais Magufuli kwa lengo la kujenga taifa mpya.
Nasikitika kumtabiria anguko kubwa ambalo hatutakaa tulisahau. Kwanza ieleweke vema kwamba naunga mkono jitihada zake ila kwa mtazamo wangu, Ndugu Magufuli hana haiba ya Uongozi wenye kuwatwisha wananchi jukumu la maendeleo yao.
Rais kwa mtazamo wangu, anahisi kwa kuwa yeye ni AmiriJeshi basi kila mtu yuko chini yake. Kikatiba inawezekana ila katika ulimwengu wa leo cheo cha Rais hakina thamani endapo kitashindwa kushawishi Wafuasi wakabeba maono yake kama kiongozi.
Watu watalazimika kufanya kazi kwa maigizo japo ndani yao hawamuungi mkono Rais kwasababu ameamua kutumia madaraka visivyo (Kutishia) badala ya kutumia madaraka Kushawishi.
Nyerere alikuwa dikteta ila watu walimuunga mkono kwakuwa aliamini katika ushirikiano na nguvu ya wananchi katika kuleta maendeleo. Ninaungana na Rais kwamba lazima awepo mtu wakuongoza katika vita ila sidhani kama hivi ni vita vya mtu mmoja, naamini ni vya wananchi wote.
Baada ya miaka kadhaa ijayo, nchi ingekuwa ya Matunda na Asali endapo;
1. Rais angekuwa jasiri na kurejesha Katiba ya Warioba bungeni na kwa kutumia ushawishi wake ahakikishe inapitishwa.
2. Rais angejikita katika kujenga taasisi huru na zenye nguvu ili tusimtegemee mtu binafsi katika vita hivi maana atapomaliza muda wake vipi akiingia wale jamaa wa dili wataendeleza dili au uadilifu?
3. Rais angetambua nguvu iliopo ndani ya wananchi, angetumia muda mwingi kuwafanya wananchi waone thamani, wajibu na madhara ya kila kitu wanachofanya (Sense of Responsibility) katika kila ngazi.
Ninatamani kuendelea ila naomba niishie hapa kwa sasa.
Kadiri siku zinavyokwenda pamoja na kuunga mkono baadhi ya hatua anazochukua Ndugu Rais Magufuli kwa lengo la kujenga taifa mpya.
Nasikitika kumtabiria anguko kubwa ambalo hatutakaa tulisahau. Kwanza ieleweke vema kwamba naunga mkono jitihada zake ila kwa mtazamo wangu, Ndugu Magufuli hana haiba ya Uongozi wenye kuwatwisha wananchi jukumu la maendeleo yao.
Rais kwa mtazamo wangu, anahisi kwa kuwa yeye ni AmiriJeshi basi kila mtu yuko chini yake. Kikatiba inawezekana ila katika ulimwengu wa leo cheo cha Rais hakina thamani endapo kitashindwa kushawishi Wafuasi wakabeba maono yake kama kiongozi.
Watu watalazimika kufanya kazi kwa maigizo japo ndani yao hawamuungi mkono Rais kwasababu ameamua kutumia madaraka visivyo (Kutishia) badala ya kutumia madaraka Kushawishi.
Nyerere alikuwa dikteta ila watu walimuunga mkono kwakuwa aliamini katika ushirikiano na nguvu ya wananchi katika kuleta maendeleo. Ninaungana na Rais kwamba lazima awepo mtu wakuongoza katika vita ila sidhani kama hivi ni vita vya mtu mmoja, naamini ni vya wananchi wote.
Baada ya miaka kadhaa ijayo, nchi ingekuwa ya Matunda na Asali endapo;
1. Rais angekuwa jasiri na kurejesha Katiba ya Warioba bungeni na kwa kutumia ushawishi wake ahakikishe inapitishwa.
2. Rais angejikita katika kujenga taasisi huru na zenye nguvu ili tusimtegemee mtu binafsi katika vita hivi maana atapomaliza muda wake vipi akiingia wale jamaa wa dili wataendeleza dili au uadilifu?
3. Rais angetambua nguvu iliopo ndani ya wananchi, angetumia muda mwingi kuwafanya wananchi waone thamani, wajibu na madhara ya kila kitu wanachofanya (Sense of Responsibility) katika kila ngazi.
Ninatamani kuendelea ila naomba niishie hapa kwa sasa.
Nilitegemea kuona hoja zako zinaelezea kuhusu ataangujaje kumbe lengo lako no katiba mpya sasa so ungebadili heading ya Uzi wako tu ukaandika katiba mpya suluhisho la uongozi tanzaniaKadiri siku zinavyokwenda pamoja na kuunga mkono baadhi ya hatua anazochukua Ndugu Rais Magufuli kwa lengo la kujenga taifa mpya.
Nasikitika kumtabiria anguko kubwa ambalo hatutakaa tulisahau. Kwanza ieleweke vema kwamba naunga mkono jitihada zake ila kwa mtazamo wangu, Ndugu Magufuli hana haiba ya Uongozi wenye kuwatwisha wananchi jukumu la maendeleo yao.
Rais kwa mtazamo wangu, anahisi kwa kuwa yeye ni AmiriJeshi basi kila mtu yuko chini yake. Kikatiba inawezekana ila katika ulimwengu wa leo cheo cha Rais hakina thamani endapo kitashindwa kushawishi Wafuasi wakabeba maono yake kama kiongozi.
Watu watalazimika kufanya kazi kwa maigizo japo ndani yao hawamuungi mkono Rais kwasababu ameamua kutumia madaraka visivyo (Kutishia) badala ya kutumia madaraka Kushawishi.
Nyerere alikuwa dikteta ila watu walimuunga mkono kwakuwa aliamini katika ushirikiano na nguvu ya wananchi katika kuleta maendeleo. Ninaungana na Rais kwamba lazima awepo mtu wakuongoza katika vita ila sidhani kama hivi ni vita vya mtu mmoja, naamini ni vya wananchi wote.
Baada ya miaka kadhaa ijayo, nchi ingekuwa ya Matunda na Asali endapo;
1. Rais angekuwa jasiri na kurejesha Katiba ya Warioba bungeni na kwa kutumia ushawishi wake ahakikishe inapitishwa.
2. Rais angejikita katika kujenga taasisi huru na zenye nguvu ili tusimtegemee mtu binafsi katika vita hivi maana atapomaliza muda wake vipi akiingia wale jamaa wa dili wataendeleza dili au uadilifu?
3. Rais angetambua nguvu iliopo ndani ya wananchi, angetumia muda mwingi kuwafanya wananchi waone thamani, wajibu na madhara ya kila kitu wanachofanya (Sense of Responsibility) katika kila ngazi.
Ninatamani kuendelea ila naomba niishie hapa kwa sasa.
Umenena, lakini yote hayo yameshasemwa mara nyingi sana. Ukiona JPM anafumbia macho kuottangazwa matangazo ya bunge TBC1, ujue JPM ana walakini mkubwa. Mtawala bora angelikataa upuuzi huo. Ameubariki!
Pia angefanikiwa sana kama akiaacha unafiki na kukikana chama chake! lazima atubu dhambi ya chama ikiwa ni pamoja na ushindi wakeKadiri siku zinavyokwenda pamoja na kuunga mkono baadhi ya hatua anazochukua Ndugu Rais Magufuli kwa lengo la kujenga taifa mpya.