Hata wakisema 20 watajitokeza wajinga kama wewe watasema haitoshi..MIAKA MINNE HAITOSHI, WAPEWE MIAKA KUMI LA SIVYO SERIKALI IWAJENGEE NYUMBA ZAO SIYO KUWAFUKUZA KAMA WAKIMBIZI NDANI YA NCHI YAO WENYEWE.
Aweke tuRAIS MAGUFULI KUWEKA JIWE LA MSINGI MAGOMENI KOTA KESHO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajia kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa nyumba za kisasa eneo la Magomeni Kota Kinondoni hapo kesho jumamosi tarehe 15 April, 2017.
Rais Magufuli ataweka jiwe la msingi katika eneo hilo mradi ambao unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu ukiwalenga wakazi wa iliyokuwa Magomeni Kota.
Huu ni utekelezaji wa ahadi ya Mh. Rais ya kuwajengea nyumba za kisasa ambazo wakazi hao wataishi kwa miaka zaidi ya minne bure kufidia kadhia waliyopata baada ya makazi yao kubomolewa.
Wananchi wote mnaombwa kujitokeza kwa wingi kesho kuanzia saa 3 asubuhi kumlaki Rais wetu mpendwa.
Kumekucha tena, muungwana hushukuru hata kwa kidogo anachopata. Hongera rais wetu kwa kuwajali wananchi wako na kutekeleza ahadi yako kwa vitendoMIAKA MINNE HAITOSHI, WAPEWE MIAKA KUMI LA SIVYO SERIKALI IWAJENGEE NYUMBA ZAO SIYO KUWAFUKUZA KAMA WAKIMBIZI NDANI YA NCHI YAO WENYEWE.
Inakuuma eeeenh!!! Nawe gombea uraisSi aliufungua huu mradi wa magomeni na kuwaahidi wananchi waliobomolewa kwamba watapata nyumba rent free kwa miaka kadhaa..... sasa anarudi tena kuweka jiwe la msingi?? Hamna kazi nyingine ..mpaka kurudia rudia sherehe?
Wakati Magufuli yupo kazini kuweka mawe ya msingi ya miradi itakayowagusa wananchi,chadema wapo busy wanataka TISS ivunjwe!RAIS MAGUFULI KUWEKA JIWE LA MSINGI MAGOMENI KOTA KESHO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajia kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa nyumba za kisasa eneo la Magomeni Kota Kinondoni hapo kesho jumamosi tarehe 15 April, 2017.
Rais Magufuli ataweka jiwe la msingi katika eneo hilo mradi ambao unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu ukiwalenga wakazi wa iliyokuwa Magomeni Kota.
Huu ni utekelezaji wa ahadi ya Mh. Rais ya kuwajengea nyumba za kisasa ambazo wakazi hao wataishi kwa miaka zaidi ya minne bure kufidia kadhia waliyopata baada ya makazi yao kubomolewa.
Wananchi wote mnaombwa kujitokeza kwa wingi kesho kuanzia saa 3 asubuhi kumlaki Rais wetu mpendwa.
Wakati Magufuli yupo kazini kuweka mawe ya msingi ya miradi itakayowagusa wananchi,chadema wapo busy wanataka TISS ivunjwe!
Teh teh teh kweli kabisa mkuu.Hata wakisema 20 watajitokeza wajinga kama wewe watasema haitoshi..
Uzi ndani ya uzi,umeshaambiwa magomeni,anzisha uzi mwingine mkuu.Mpaka leo najiuliza hivi Rais alikuwa na maana gani kutowapatia wahanga wa tetemeko la Kagera MICHANGO yao iliyokusanywa kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya Nchi..??
Ukatili wa viwango vyote.
inaelekea ataanza hapo then udsmMbona kama sielewi???na udsm anaenda lini..tueleweshane.
Hata mi sielewi,na nakumbuka kama huu mradi wa magomeni alishaufungua,hostel za chuo lini??Mbona kama sielewi???na udsm anaenda lini..tueleweshane.