Mkuu nadhani watausikiliza ushauri wako huo ambao naona ndilo jambo la msingi kwa sasa.Raisi Magufuli anatakiwa aiheshimu katiba aliyoapa kuilinda mbele ya halaiki.......
Kutokuendesha nchi kwa mujibu wa sheria na kufuata katiba kunaenda moja kwa moja kwenye udikteta.....
Tunataka utawala wa sheria hatutaki utawala wa kauli hata katika masuala yanayohitaji taratibu za kisheria........
Kama kuna sheria ambazo anaona zina mapungufu na haziendani kasi yake ya kutumbua majipu basi zifanyiwe marekebisho haraka iwezekanavyo........
Na wabunge huko bungeni waweke mahaba ya vyama vyao pembeni na wasimame kama watanzania kwa maslahi ya Tanzania.......
Kama jambo lina maslahi kwa taifa hata kama limeanzishwa na mtu ambaye si wa chama chako basi lipitishwe mara moja na sio kuleta malumbano yasiyo na msingi.......
Vile vile ndugu zangu wapinzani kama juhudi zenu za kupigania sisi wananchi kulitazama bunge live zimeshindikana basi pambaneni hata kama ni gizani sisi wanyonge tupo nyuma yenu......daima Mungu anasikiliza kilio cha wengi.....msikubali ajenda hiyo iwapotezee muda wa kututetea sisi wapiga kura wenu.....pengine hiyo ni ajenda ya serikali ya CCM kuwatoa mchezoni ili nyinyi muendeleze malumbano huku wakipanga mipango yao bila vikwazo.......si mnakumbuka ule muswada wa mafuta uliopitishwa baada ya nyinyi kususa...?? Tunaomba ilo lisijirudie tena.......
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU WABARIKI UKAWA.....
Amen......
Raisi Magufuli anatakiwa aiheshimu katiba aliyoapa kuilinda mbele ya halaiki.......

Umeua kamanda,kwa kuwa dereva ni polisiHii serikali haina vision kabisa.. bashe kaongea leo. Ni serikali ya mipasho sana.
Haina dhamira ya kweli ya kuleta maendeleo. Kutumbua majibu sio kigezo cha seriakli makini na yenye nia ya kuleta maendeleo, hata kichaa anaweza tumbua majibu.
Inatafuta sifa hata sehemu zisizo hitaji sifa. Wajifunze mpango wa 2030 wa kenya ulio wekwa na kibaki ambao leo ni tishio kwa africa mashariki.
Anacho kifanya Magufuli ni kuendesha gari barabarani bila kufuata sheria eti kwa kuwa dereva ni police.
You killed itRaisi ambaye vyombo vya dola viko chini yake, ukimuachia matumizi ya pesa za umma nayo yawe chini yake moja kwa moja unakuwa unampa nguvu ambazo baadae ni vigumu kumthibiti. Bunge halipaswi kupokwa power zake za kuidhinisha matumizi ya pesa za wananchi!
Let us wake up before it is too late,ilianzailianza barabara ya biharamulo kuchepushwa ikapelekwa chato,kumekuchaaaaFirst they came for the Socialists, and I did not speak out—
Because I was not a Socialist.
Then they came for the Trade Unionists, and I did not speak out—
Because I was not a Trade Unionist.
Then they came for the Jews, and I did not speak out—
Because I was not a Jew.
Then they came for me—and there was no one left to speak for me.
Kamanda haupo mbali na ukweli.....mambo yote yapo bayana....serikali yote kwa ujumla haina hata nia ya kuwakwamua Watanzania zaidi ya kuwafanya kama makatuni kwa kuwaletea maigizo.....tazama vitu vinavyopanda bei....kiukeei hali ni mbaya sana....Hii serikali haina vision kabisa.. bashe kaongea leo. Ni serikali ya mipasho sana.